Mbona wasanii wa kike wanaofanya vizuri bongo hawana vyura.

Mbona wasanii wa kike wanaofanya vizuri bongo hawana vyura.

dokolombwike

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
373
Reaction score
616
Jamani nimefanya utafiti kuhusu uhusiano wa vyura na wasanii wa like wa bongo nikagundua asilimia kubwa ya flat screen ndo wanaofanya poa.mfano nandi,rosalee,chemical,ladyjaydee,DJ sinyorita ingawa huyu ni DJ.kama unamifano mingine unaweza ongezea au kama unataka kuniprove long pia unaruhusiwa.
 
Wewe lazima huna chura unataka kufanya madhaifu yako yawe faida kwako.

Mwanamke Chura..kama una anatomical disorder kafie mbele
 
Nyie ndo mnapigwaga mashine,yaani kwa avatar hiyo bado hujajua mi ni njema mwenye machine haswaaa.siku nyingine usikurupuke utapakwa mafuta.kenge mweusi we.
 
Jamani nimefanya utafiti kuhusu uhusiano wa vyura na wasanii wa like wa bongo nikagundua asilimia kubwa ya flat screen ndo wanaofanya poa.mfano nandi,rosalee,chemical,ladyjaydee,DJ sinyorita ingawa huyu ni DJ.kama unamifano mingine unaweza ongezea au kama unataka kuniprove long pia unaruhusiwa.
like===>>>kike
 
Thanks mkuu kuna boya kaniudhi hadi nakosea kuandika
 
Nyie ndo mnapigwaga mashine,yaani kwa avatar hiyo bado hujajua mi ni njema mwenye machine haswaaa.siku nyingine usikurupuke utapakwa mafuta.kenge mweusi we.
Kati ya maandishi yako ya kike na avata ya kiatu cha jeshi wanayovaa hata mademu unategemea kipi kitakutambulisha?

Flat screen ni dume, mwanamke tako
Kama unapenda flat screen utakuwa shoga
 
Wewe ndo nawasiwasi utakuwa shoga hata avatar yako inajieleza,mambo ya kuweka mauwa na vyungu vya maua kwenye avatar ni shoga pekee ndo anaeweza kufanya
 
Mzee wa Kolomije mbona anasumbua town na chura wake kakaa sawa tu? Kafanye utafiti tena.
 
Jamani nimefanya utafiti kuhusu uhusiano wa vyura na wasanii wa like wa bongo nikagundua asilimia kubwa ya flat screen ndo wanaofanya poa.mfano nandi,rosalee,chemical,ladyjaydee,DJ sinyorita ingawa huyu ni DJ.kama unamifano mingine unaweza ongezea au kama unataka kuniprove long pia unaruhusiwa.
Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo! Hiyo ni nyimbo tu ya zaiid-wowowo, nenda youtube
 
Hizi tafiti hazina tofauti na zile za Brother K' wa Futuhi..,
 
Kwenye mziki kinachomfanya binti afanye vizuri ni kipaji chake na si uzuri wake na ndio maana mziki kila siku unakua na kuzidi kusambaa, sababu ya ubunifu unaotokana na vipaji vyao. Ukija upande wa bongo movie hawaangalii vipaji wanachoangalia ni sura, matako na mahipsi na ndio maana bongo movie inakufa kwa sababu washikadau(wengi wao wanaongozwa na tamaa za ngono) hawawatizami wenye vipaji, wanachoangalia ni sura na matako mwisho wa siku wanatengeneza movie za hovyo hazina ubunifu na kinachowapa umaarufu mabinti wa bongo movie ni skendo zao za umalaya, kugombania mabwana, kutembea na vibeni teni na si umaarufu unaotokana na ubunifu wa kazi zao.
 
Back
Top Bottom