dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 616
Jamani nimefanya utafiti kuhusu uhusiano wa vyura na wasanii wa like wa bongo nikagundua asilimia kubwa ya flat screen ndo wanaofanya poa.mfano nandi,rosalee,chemical,ladyjaydee,DJ sinyorita ingawa huyu ni DJ.kama unamifano mingine unaweza ongezea au kama unataka kuniprove long pia unaruhusiwa.