GE2025 Mbona Watanzania wengi ukikutana nao wanasema hawatashiriki huu uchaguzi?

GE2025 Mbona Watanzania wengi ukikutana nao wanasema hawatashiriki huu uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM ni washindi kiongozi toka enzi na enzi hata wasiposhiriki sema natamani nione movement ya maandamano tarehe 29 ikiwa true(Fanyeni hivyo basi watanzania ingia mtaani hiyo tarehe mtabarikiwa sana)
 
Wala wasingehamasisha maandamano badala yake wangeambia watu wasijitokeze tu kushiriki uchaguzi ukizingatia tayari hakuna hamasa!
 
Nimeshangaa sana ni kama kuna wazo linaambukizwa kwa watanzania vichwani mwao.

Wengi wao wanasema hawatashiriki uchaguzi? Kwa nini?

Kwani hawaoni kama kuna uchaguzi?
Ni Mpumbavu na mnufaika tu..
Atakae shiriki ushenzi huo
 
Nimeshangaa sana ni kama kuna wazo linaambukizwa kwa watanzania vichwani mwao.

Wengi wao wanasema hawatashiriki uchaguzi? Kwa nini?

Kwani hawaoni kama kuna uchaguzi?
Jibu unalo kwenye hilo swali lako la mwisho..
Ndiyo, Hawaoni kuwa kuna uchaguzi.

Hivi Samia na Genge lake kwa nini wawadharau waTanzania kiasi hiki?
Kwamba waTanzania hawana akili ya kujuwa maana ya uchaguzi ni kitu gani?
 
Vyombo vya ulinzi na usalama ndio chanzo cha uharibifu wa huu uchaguzi wa mwaka huu.
 
Wala wasingehamasisha maandamano badala yake wangeambia watu wasijitokeze tu kushiriki uchaguzi ukizingatia tayari hakuna hamasa!
Kura elfu hamsini, tayari Samia anajitangaza ni mshindi.
Maandamano ni ishara muhimu inayoonekana dunia nzima. Hata akijitangaza, alama hiyo ya maandamano haiwezi kufutika.

Na maandamano yana faida nyingine, baadhi ya hata hao 50,000 hawatajitokeza kwa sababu ya maandamano. Ni heri ajitangazie ushindi akiwa na kura 25,000, kuliko 50,000!!

Usiishie kukaa nyumbani. Njoo tuandamane kuiiokoa taifa letu na janga hili.
 
Nani ashiriki kwenye hayo maigizo! Ni wajinga pekee ndiyo watapoteza muda wao.
Tahadhari sana. Hao "wajinga" waogope sana wakati huu, kwa sababu ujinga wao huo ndio utakaotuingiza kwenye matatizo makubwa.
Hawa "wajinga" ni lazima wakabiliwe safari hii. Hawa siyo wa kuwaachia watambe.
"Wajinga" 50,000 wanaweza kabisa kuwa ndio waliomchagua Samia na kumpa ushindi. Wasiruhusiwe kufanya ujinga wao huo.
 
Hili suala lipo kama utani vile, ila viwanja vyote nilivyotembelea kuanzia mwezi wa 8 kila ikitokea discussion ya kutiki wadau wanaashiria hawapo mlengo huo kabisa
 
Nimeshangaa sana ni kama kuna wazo linaambukizwa kwa watanzania vichwani mwao.

Wengi wao wanasema hawatashiriki uchaguzi? Kwa nini?

Kwani hawaoni kama kuna uchaguzi?
Ikiwa mtu sii muigizaji na ukampatiajukumu la uigizaji je unategemea aigize?
 
Nimeshangaa sana ni kama kuna wazo linaambukizwa kwa watanzania vichwani mwao.

Wengi wao wanasema hawatashiriki uchaguzi? Kwa nini?

Kwani hawaoni kama kuna uchaguzi?
Kwani we utashiriki hicho kiinimacho
 
Back
Top Bottom