Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Ni Mpumbavu na mnufaika tu..Nimeshangaa sana ni kama kuna wazo linaambukizwa kwa watanzania vichwani mwao.
Wengi wao wanasema hawatashiriki uchaguzi? Kwa nini?
Kwani hawaoni kama kuna uchaguzi?
Jibu unalo kwenye hilo swali lako la mwisho..Nimeshangaa sana ni kama kuna wazo linaambukizwa kwa watanzania vichwani mwao.
Wengi wao wanasema hawatashiriki uchaguzi? Kwa nini?
Kwani hawaoni kama kuna uchaguzi?
Kura elfu hamsini, tayari Samia anajitangaza ni mshindi.Wala wasingehamasisha maandamano badala yake wangeambia watu wasijitokeze tu kushiriki uchaguzi ukizingatia tayari hakuna hamasa!
Tahadhari sana. Hao "wajinga" waogope sana wakati huu, kwa sababu ujinga wao huo ndio utakaotuingiza kwenye matatizo makubwa.Nani ashiriki kwenye hayo maigizo! Ni wajinga pekee ndiyo watapoteza muda wao.
Ikiwa mtu sii muigizaji na ukampatiajukumu la uigizaji je unategemea aigize?Nimeshangaa sana ni kama kuna wazo linaambukizwa kwa watanzania vichwani mwao.
Wengi wao wanasema hawatashiriki uchaguzi? Kwa nini?
Kwani hawaoni kama kuna uchaguzi?
Kwani we utashiriki hicho kiinimachoNimeshangaa sana ni kama kuna wazo linaambukizwa kwa watanzania vichwani mwao.
Wengi wao wanasema hawatashiriki uchaguzi? Kwa nini?
Kwani hawaoni kama kuna uchaguzi?