SILLENT KILLER 2
Member
- Jun 12, 2024
- 28
- 38
Kama nini na nini tufahamu mkuu....?Kumiliki ndege au helikopta sio jambo la kuamka asubuhi na pesa zako ukanunua helikopta au ndege zako ukaanza kuruka angani.
Kuna vigezo, masharti, kanuni na taratibu za kisheria lazima ukidhi na ufuate.
may be wapo.Ila nilikuwa nauliza.....!Ndege na Helikopta na Meli sijui Yatch ni vya Mabilionea.
Sasa humu ndani kuna bilionea?
Dah huko pakubwa sasa kwa level za bongo bado tupo na subaru..Habari za muda wakuu. Najua mko powa kabisa
Ningeomba kujua mbona watu hawajadili kuhusu meli au boti. Au mtu anayetamani kumiliki ndege au helikopta au ndo mimi sijawahi kuona nyuzi humu.Msaada tafadhari.....
nipo mkuuNdege na Helikopta na Meli sijui Yatch ni vya Mabilionea.
Sasa humu ndani kuna bilionea?
Habari za muda wakuu. Najua mko powa kabisa
Ningeomba kujua mbona watu hawajadili kuhusu meli au boti. Au mtu anayetamani kumiliki ndege au helikopta au ndo mimi sijawahi kuona nyuzi humu.Msaada tafadhari.....
Kwani we unataka boss?Habari za muda wakuu. Najua mko powa kabisa
Ningeomba kujua mbona watu hawajadili kuhusu meli au boti. Au mtu anayetamani kumiliki ndege au helikopta au ndo mimi sijawahi kuona nyuzi humu.Msaada tafadhari.
Air operator certificate kutoka kwa mamlaka ya usafiri wa anga(TCAA).Kama nini na nini tufahamu mkuu....?
Kwa mfano wa helkopta ambayo inaweza kupaki hata katika eneo langu nayo hutozwa hiyo parking fee bila kujalisha imepaki Kwa mmiliki au laa ! Najibu tafadhali mkuuAir operator certificate kutoka kwa mamlaka ya usafiri wa anga(TCAA).
Radio license certificate.
Qualifed personnel. Crews. Na uwe na kipato cha kutosha kuwalipa.
Pia kuna gharama zingine utatakiwa kuzilipia kama Navigation fees, Mafuta ya ndege, parking fees n.k
Kama utaweza kuandaa eneo lako la kupaki helikopta yako huwa wanaita (Helipad) inaruhusiwa kufanya hivyo.Kwa mfano wa helkopta ambayo inaweza kupaki hata katika eneo langu nayo hutozwa hiyo parking fee bila kujalisha imepaki Kwa mmiliki au laa ! Najibu tafadhali mkuu
Kumilili ndege ya mwaka 13 B.C ( Before Christ) labda π π πMkuu ikiwa hizi ndoto tulizo nazo za kumiliki magari, bado ni mgari ya 2006 huko, je unadhani kumiliki ndege itawezekana kirahisi? Hadi tuwe na hizo ndoto.
ππππππππ KabisaaaKumilili ndege ya mwaka 13 B.C ( Before Christ) labda π π π