Mbona watu hawatafuti madini baharini

Mbona watu hawatafuti madini baharini

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Pembezoni mwa mito naona watu wanachimba Vito wanachimba mchanga na kuusafisha hii inamaanisha kwamba madini mengi yanapita kupitia mito na mito inaelekea baharini si maanake baharini Kuna vipande vingi vya madini Sasa mbona hawachimbi mchanga uliolala kwenye sakafu za baharini je technology ya kutoa mchanga haipo mpaka Sasa hivi?
 
ukienda kanda zenye madini utagundua ni kwanini ni uchuro kuwaza dhahabu au almasi,au tanzanite inawezapatikana pembezoni mwa bahari.

ni miamba migumu sana tena chini sana ya ardhi,ambako kuna mgandamizo mkali na joto la kutosha kizalisha madini husika.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom