zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 434
- 581
Mwakinyo sio mpiganaji mzuri ana pupa sio mtupa mqkonde ya kiufundi.atapigwaaa tu.habari wandugu,
nafikiri now ni time ya hawa wanamasumbwi ambao wanafanya vzr, watoane jasho ulingoni, tujue nani ni nani maana wakina cheka ndo hvy washapotea,
mapromota tupieni jicho kwenye hili..naamini litakuwa pambano zuri sn View attachment 1067103View attachment 1067104
Sent using Jamii Forums mobile app
Linaweza likafanyika endapo tuu dulla ata kata weight au mwakinyo apandishe weight na hivi vyote vinawezekana. Ikitokea liandaliwe miizi miwili mbele Dullah anaweza kukubali kukata uzito maana Dullah Ni mtu mwenye usongo na anapiga ngumi jiwe kweli...kukata upepo Ni rahisi kwani itahitaji ufanye mazoezi ya Road work Sana ....kupanda uzito nao rahisi pia na unapata faida kwani punch zitakua nzitomimi ni mshabiki mkubwa wa huyu mtanga mwenzangu kutoka pale mwakizaro hassan mwakinyo ,kiukweli pambano litakua zuri ila sidhani kama mwakinyo atamaliza round ya 4 ,nadhani atakua ameshakalishwa na dillah mbabe .ila hili pambano ni vigumu sana kutokea, kwanza mwakinyo ana uzito mdogo zaidi ya dulla.dula ana 74 mpaka 78 mwakinyo ana 68-70.
pia mwakinyo atahitaji pesa nyingi sana ambazo sidhani kama kuna promota wa tanzania atakayeweza kumudu naye atengeneze faida
Acha kudanganya watu huyo wa mwakinyo wa mwakizaro ni yupi. .mbna mwakinyo anaishi makororamimi ni mshabiki mkubwa wa huyu mtanga mwenzangu kutoka pale mwakizaro hassan mwakinyo ,kiukweli pambano litakua zuri ila sidhani kama mwakinyo atamaliza round ya 4 ,nadhani atakua ameshakalishwa na dillah mbabe .ila hili pambano ni vigumu sana kutokea, kwanza mwakinyo ana uzito mdogo zaidi ya dulla.dula ana 74 mpaka 78 mwakinyo ana 68-70.
pia mwakinyo atahitaji pesa nyingi sana ambazo sidhani kama kuna promota wa tanzania atakayeweza kumudu naye atengeneze faida
Mwakinyo amefanikiwa kufanya aonekane ni more of a celebrity than a fighter. With proper advertising Mwakinyo litakua jina la reference ya ubondia Tanzania.Dullah Mbabe anamuhitaji zaidi Mwakinyo kuliko Mwakinyo anavyomuhitaji Dulla
hivi huo uzito huwa ni kilo za za uzito wa mpiganaji akipanda kwenye mzani au ?....kwanza mwakinyo ana uzito mdogo zaidi ya dulla.dula ana 74 mpaka 78 mwakinyo ana 68-70....
Wanamtangaza sana Mwakinyo utadhani ni pekeyake anafanya boxing tz, yaani hilo pambano lake lijalo wanalitangaza kilasiku kwenye vipindi vya michezo utadhani anacheza na mtu wa maana kumbe anacheza na journeyman wa ufilipino mwenye loss 24[emoji30], juzijuzi Dulla Mbabe kapata pambano kubwa na Rocky Fielding lakini sikusikia akitangazwa kabisa sasa sijui watangazaji hawana taarifa au nini?Mwakinyo amefanikiwa kufanya aonekane ni more of a celebrity than a fighter. With proper advertising Mwakinyo litakua jina la reference ya ubondia Tanzania.
Dulla bado anahisi yupo mitaa ya Mabibo. Angalia hiyo picha yake hapo juu.
Dullah amepigana na bondia Rocky Fielding.Dullah anatakiwa atafute pambano na bondia wa nje kama alivyofanya mwakinyo ili limtoe, sio atumie mgongo wa mwakinyo kutoka
Unaota wewe.Dullah Mbabe anamuhitaji zaidi Mwakinyo kuliko Mwakinyo anavyomuhitaji Dulla. Kwa mtazamo wangu kama watapanda ulingoni Dulla atapigwa, ana ngumi nzito sawa but he is too slow, Mwakinyo ana speed ya kurusha ngumi, so hiyo speed itamshinda huyo Dulla na atakaa kabla ya kumalizika Round 12
Hivi unamjua vizuri bondia aliyepigana naye?Dulla huyo juzi kati aliyepigwa kichapo cha mbwa koko kidogo afie ulingoni ahaaa ebu achene maksiharaa basi