Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,485
Uchambuzi mzuri.mimi ni mshabiki mkubwa wa huyu mtanga mwenzangu kutoka pale mwakizaro hassan mwakinyo ,kiukweli pambano litakua zuri ila sidhani kama mwakinyo atamaliza round ya 4 ,nadhani atakua ameshakalishwa na dillah mbabe .ila hili pambano ni vigumu sana kutokea, kwanza mwakinyo ana uzito mdogo zaidi ya dulla.dula ana 74 mpaka 78 mwakinyo ana 68-70.
pia mwakinyo atahitaji pesa nyingi sana ambazo sidhani kama kuna promota wa tanzania atakayeweza kumudu naye atengeneze faida
Hakuna pambano
Uzito tofauti sana
Bazazi