Mbona watu hawatamani pambano kati ya Mwakinyo na Dulla Mbabe?

Mbona watu hawatamani pambano kati ya Mwakinyo na Dulla Mbabe?

mimi ni mshabiki mkubwa wa huyu mtanga mwenzangu kutoka pale mwakizaro hassan mwakinyo ,kiukweli pambano litakua zuri ila sidhani kama mwakinyo atamaliza round ya 4 ,nadhani atakua ameshakalishwa na dillah mbabe .ila hili pambano ni vigumu sana kutokea, kwanza mwakinyo ana uzito mdogo zaidi ya dulla.dula ana 74 mpaka 78 mwakinyo ana 68-70.
pia mwakinyo atahitaji pesa nyingi sana ambazo sidhani kama kuna promota wa tanzania atakayeweza kumudu naye atengeneze faida
Uchambuzi mzuri.
Hakuna pambano
Uzito tofauti sana

Bazazi
 
Mie natamani itokee Mwakinyo Vs Selemani kidunda
Kwa sasa kidunda anacheza amateur professionals
 
Wanamtangaza sana Mwakinyo utadhani ni pekeyake anafanya boxing tz, yaani hilo pambano lake lijalo wanalitangaza kilasiku kwenye vipindi vya michezo utadhani anacheza na mtu wa maana kumbe anacheza na journeyman wa ufilipino mwenye loss 24[emoji30], juzijuzi Dulla Mbabe kapata pambano kubwa na Rocky Fielding lakini sikusikia akitangazwa kabisa sasa sijui watangazaji hawana taarifa au nini?
PR ya Dula ina shida.

Shida nyingine Dula anajitreat kama bado chipukizi wa Keko yaani ana attitude ya 'I do it for my hood' kwahiyo anaona watu wajue wasijue yeye sawa tu kikubwa hood yake inamkubali.

Binafsi nilifikiri Dula atakua mapinduzi ya boxing Tanzania, baada ya Matumla.
 
Watuletee pambano hili tumtambue mbabe wa ndondi Tanzania

huyo mwakinyo hana hadhi ya kuwa top hapa nchini, ilitakiwa athibitishe kwa kuchakaza mabondia wote ndio atangazwe
Kwani mwqkinyo amekuambia yy ni mbabe hapa bongo ?
 
Watuletee pambano hili tumtambue mbabe wa ndondi Tanzania

huyo mwakinyo hana hadhi ya kuwa top hapa nchini, ilitakiwa athibitishe kwa kuchakaza mabondia wote ndio atangazwe
Dullar mbabe amepigwa na twaha kiduku
 
Bingo bana, sasa kwani ni Dullah mbabe na huyo jamaa yake wamefinya mdomo hivyo?

Ili waonekane ni hatariii?
 
PR ya Dula ina shida.

Shida nyingine Dula anajitreat kama bado chipukizi wa Keko yaani ana attitude ya 'I do it for my hood' kwahiyo anaona watu wajue wasijue yeye sawa tu kikubwa hood yake inamkubali.

Binafsi nilifikiri Dula atakua mapinduzi ya boxing Tanzania, baada ya Matumla.
Pia akili yake sijui kama iko sawa, hebu jaribu kuangalia mambo aliyokuwa anafanya baada ya kuisha pambano hili, aibu nimeona mimi, sijui nini kilimfurahisha hivi, kupigana na mzungu au?[emoji3][emoji3]
 
Mkuu ni menejimenti tu ndo ya Dulla ndo ipo local sana,kama menejimenti ya Mondi na wasanii wenzake,menejimenti ya Mwakinyo inambrand vizuri bondia wao wakati Dulla wao bado wana mambo ya kizamani
Wanamtangaza sana Mwakinyo utadhani ni pekeyake anafanya boxing tz, yaani hilo pambano lake lijalo wanalitangaza kilasiku kwenye vipindi vya michezo utadhani anacheza na mtu wa maana kumbe anacheza na journeyman wa ufilipino mwenye loss 24[emoji30], juzijuzi Dulla Mbabe kapata pambano kubwa na Rocky Fielding lakini sikusikia akitangazwa kabisa sasa sijui watangazaji hawana taarifa au nini?
 
Nimempenda dulla anaonekana yuko humble na anapenda mchezo wa ngumi....mapambano yake full freestyle ndani yake.
 
Uchambuzi mzuri.
Hakuna pambano
Uzito tofauti sana

Bazazi
Tofauti ya uzito sio kubwa, hivi majuzi Canelo alipanda kutoka Middleweight kwenda Light Heavyweight kupigana na Kovalev
 
Dulla anauoenda sanaa huumchezo. Tatzo jamaa hana ngumi jiwe za kumalza pambano kwa KO
Nimempenda dulla anaonekana yuko humble na anapenda mchezo wa ngumi....mapambano yake full freestyle ndani yake.
 
Dogo a ana speed za kupiga so yupo fasta
Pambano la kwanza la Mashali (marehemu) na Dulla lilikua Mwin'juma pale Mashali alipigwa mpaka akavunjwa taya. Kichekesho? Majaji wakavunja pambano.

Uliona Cheka alivyoangushwa na Dulla?

Mwakinyo sijabahatika kuangalia mapambano yake zaidi ya highlights hivyo siwezi sense juu ya weaknesses au strengths zake akiwa ulingoni.
 
Watuletee pambano hili tumtambue mbabe wa ndondi Tanzania

huyo mwakinyo hana hadhi ya kuwa top hapa nchini, ilitakiwa athibitishe kwa kuchakaza mabondia wote ndio atangazwe
NI WIVU TUUU. (In Gwajiboy's voice)[emoji4][emoji4]
 
Atatifuliwa Mwakinyo maana anajifanya celebrity siku hizi badala ya boxer.
 
Mwakinyo kafika kiwango kizuri..unataka tena aishi vipi ..mtu akiishi vizuri na katika kujibrand kama star mnaanza kumuita anajifanya...chuki haztamfikisha mtu popote. Wivu ndio unaleta mada za kijinga ..badala ya kuweka uzalendo mbele watu wanaongea kama wanamuongelea mtu kutoka ughaibuni kusikoeleweka. Shame on you.
 
habari wandugu,
nafikiri now ni time ya hawa wanamasumbwi ambao wanafanya vzr, watoane jasho ulingoni, tujue nani ni nani maana wakina cheka ndo hvy washapotea,
mapromota tupieni jicho kwenye hili..naamini litakuwa pambano zuri sn View attachment 1067103View attachment 1067104

Sent using Jamii Forums mobile app
Dulla Mbabe atashinda kiuwepesi sana hili pambano.

Japo halitokaa lifanyike.

Dulla anasema Mwakinyo ni swahiba wake mkubwa hivyo akipoteza pambano ataumia sana.pia na yeye akipigwa na Mwakinyo ataumia.
 
Sababu ni zilezile za Simba kutoshiriki Kagame cup. Watakuwa wanapigana kupata mkanda gani? Mwakinyo yupo level hizo?
 
Back
Top Bottom