Mbona watu wanabeza sana magari aina ya Toyota

Mbona watu wanabeza sana magari aina ya Toyota

Uniponde nikiwa na Crown Grs200 yangu utakuwa huna akili.
 
Kuna magari aina ya Toyota lakini Yana nguvu na speed sana. Mfano, Toyota landcruiser V8 lina nguvu imara na speed Sana BMW akasome , Subaru zote hapa zinakaa keti kwa huu mnyama.

Lakini kumekuwa na hulka ya watu kuponda magari aina ya Toyota sijui kwanini.

Mkuu jikite kwenye kuwaza where you will get the next meal. Wee Endelea kujichanganya tu nakuzidi kudumaza IQ yako ambayo tayari ina mushkhel.

Hicho kifaa hapo juu kwenye picha bei yake ni kama nyumba za kisasa 500 mbagala
 
Sio kwamba watu wanaponda Toyota,kinachosemwa humu ni kwamba tuachane na kasumba kwamba gari ni Toyota tu!
 
Karibia 75%ya magari yote yanayopatikana Tz ni Toyota, na nadhani kwa Africa sisi ndo tunaongoza kuagiza haya magari, tunayapenda sana
Sio kwamba wanayapenda bali, wanapotaka kununua vitisho kibao mara spare hakuna mara mafundi hawapo nk mwishowe mtu ananunua toyota bila kupenda, vilevile wanafuata choice ya serikali, serikali ikiamua kuwa inatumia aina nyingine basi na raia watafuata hukohuko
 
Mkuu unazingua.

Hamna Gari rahisi kudalalia kama Toyota

Nina Nissan Xtrail nazunguka nayo hakuna hata mteja anaeulizia,
Ila ingekuwa Toyota ingeshaisha zamani.

mTanzania na Toyota ni kama Mbwa na mfupa
 
Mkuu unazingua.

Hamna Gari rahisi kudalalia kama Toyota

Nina Nissan Xtrail nazunguka nayo hakuna hata mteja anaeulizia,
Ila ingekuwa Toyota ingeshaisha zamani.

mTanzania na Toyota ni kama Mbwa na mfupa
Mkuu hilo nipe mimi wewe nunua Toyota[emoji1]
 
Tatizo hata waoponda toyota wanatumia Wish na nissan tiida.. hebu tuacheni ni IST zetu bana..
 
Kuna magari aina ya Toyota lakini Yana nguvu na speed sana. Mfano, Toyota landcruiser V8 lina nguvu imara na speed Sana BMW akasome , Subaru zote hapa zinakaa keti kwa huu mnyama.

Lakini kumekuwa na hulka ya watu kuponda magari aina ya Toyota sijui kwanini.

Kwa uimara sawa, ila hapo kwa speed na nguvu kule ulaya ndo making wa horsepowers
 
Back
Top Bottom