ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
mh........................Ni kweli kabisa jamani ,, hata mimi kuna mtu jina lake lilitoka kwenye wale ambao hawakuchaguliwa lakini jina lake limetoka tena kwenye selection za UDOM...... na kama kuna mtu anabisha aseme nimpe hilo jina hapa sasa hivi..........