Mpumbaf hapandi chati kwa upumbaf wake kutajwa sana! Zaidi ya wengi kuokoka na kutambua ni mpuuzi au ni tapeli tuu.Daah... Ila Makonda anawaumiza sana vichwa. Cha ajabu mnavyozidi kumchukia na kumuanzishia thread ndo mnazidi kumpaisha..
Mkuu kwa siku chache hapo Arusha amesaidia wengi. Kuna wakati mnajawa na chuki ambazo huwa sielewi chanzo pengine hujawahi kudhulumiwa nyumba au ardhi. Kuna wazee wamelipwa deni lao na halmashauri karibu bilioni baada ya kuzungushwa tangu 2014, na mahakama ilishasema walipwe na halmashauri ilishindwa rufaa, unahisi hao wazee na ndugu na jamaa zao huko Arusha watawaelewa na hizi chuki zenu dhidi ya Makonda!??, Mfano nikuulize.., Makonda akisifiwa au akitumbuliwa kwenye maisha yako na kipato chako unapungukiwa au kinaongezeka nini!?.. kama hakuna basi na wewe ni kama mchawi tu uliyejawa na chuki bila sababu. Jibu bila ku panic..Mpumbaf hapandi chati kwa upumbaf wake kutajwa sana! Zaidi ya wengi kuokoka na kutambua ni mpuuzi au ni tapeli tuu.
Hivi mmesahau jinsi alivyokuwa anawakusanya wanawake eti walio telekezwa na waume? Mpaka akamleta binti eti wa Lowassa?
Mara hili mara lile, ilimradi litamfedhehesha kiongozi fulani na wajinga kwa vile ndio watakavyo wakawa wanachekelea but ulikuwa utapeli mtupu.
Kumbe wewe hutoi maoni mpaka hilo jambo liwe linakuongezea kitu au kukupunguzia binafsi? Basi huna faida na uelewa wowote.Mkuu kwa siku chache hapo Arusha amesaidia wengi. Kuna wakati mnajawa na chuki ambazo huwa sielewi chanzo pengine hujawahi kudhulumiwa nyumba au ardhi. Kuna wazee wamelipwa deni lao na halmashauri karibu bilioni baada ya kuzungushwa tangu 2014, na mahakama ilishasema walipwe na halmashauri ilishindwa rufaa, unahisi hao wazee na ndugu na jamaa zao huko Arusha watawaelewa na hizi chuki zenu dhidi ya Makonda!??, Mfano nikuulize.., Makonda akisifiwa au akitumbuliwa kwenye maisha yako na kipato chako unapungukiwa au kinaongezeka nini!?.. kama hakuna basi na wewe ni kama mchawi tu uliyejawa na chuki bila sababu. Jibu bila ku panic..