Pre GE2025 Mbona zile mbinu za Makonda za kuhutubia kwa kuingia na trekta, mkokoteni hatuzioni tena huko Arusha au yalikuwa maigizo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huko Chuga kuna pikipiki za wadudu kama akina Kenyonyoo na Mama la Mama 😂 kwa hiyo Mh siku hizi anatimba mkutanoni na Toyo
 
Daah... Ila Makonda anawaumiza sana vichwa. Cha ajabu mnavyozidi kumchukia na kumuanzishia thread ndo mnazidi kumpaisha..
Mpumbaf hapandi chati kwa upumbaf wake kutajwa sana! Zaidi ya wengi kuokoka na kutambua ni mpuuzi au ni tapeli tuu.
Hivi mmesahau jinsi alivyokuwa anawakusanya wanawake eti walio telekezwa na waume? Mpaka akamleta binti eti wa Lowassa?
Mara hili mara lile, ilimradi litamfedhehesha kiongozi fulani na wajinga kwa vile ndio watakavyo wakawa wanachekelea but ulikuwa utapeli mtupu.
 
Mkuu kwa siku chache hapo Arusha amesaidia wengi. Kuna wakati mnajawa na chuki ambazo huwa sielewi chanzo pengine hujawahi kudhulumiwa nyumba au ardhi. Kuna wazee wamelipwa deni lao na halmashauri karibu bilioni baada ya kuzungushwa tangu 2014, na mahakama ilishasema walipwe na halmashauri ilishindwa rufaa, unahisi hao wazee na ndugu na jamaa zao huko Arusha watawaelewa na hizi chuki zenu dhidi ya Makonda!??, Mfano nikuulize.., Makonda akisifiwa au akitumbuliwa kwenye maisha yako na kipato chako unapungukiwa au kinaongezeka nini!?.. kama hakuna basi na wewe ni kama mchawi tu uliyejawa na chuki bila sababu. Jibu bila ku panic..
 
Makonda yupo bize anatatua changamoto za wakazi wa Arusha halafu wewe upo huku kuandika upupu.

Ingia YouTube one kazi kubwa anayoifanya Makonda Arusha. Kuna mwananchi mmoja ameomba Makonda awe anabadilishiwa mkoa Kila mwaka ili kazi kubwa anayoifanya Arusha akaifanye na mikoa mingine
 
Mkuu kwa siku chache hapo Arusha amesaidia wengi. Kuna wakati mnajawa na chuki ambazo huwa sielewi chanzo pengine hujawahi kudhulumiwa nyumba au ardhi. Kuna wazee wamelipwa deni lao na halmashauri karibu bilioni baada ya kuzungushwa tangu 2014, na mahakama ilishasema walipwe na halmashauri ilishindwa rufaa, unahisi hao wazee na ndugu na jamaa zao huko Arusha watawaelewa na hizi chuki zenu dhidi ya Makonda!??, Mfano nikuulize.., Makonda akisifiwa au akitumbuliwa kwenye maisha yako na kipato chako unapungukiwa au kinaongezeka nini!?.. kama hakuna basi na wewe ni kama mchawi tu uliyejawa na chuki bila sababu. Jibu bila ku panic..
Kumbe wewe hutoi maoni mpaka hilo jambo liwe linakuongezea kitu au kukupunguzia binafsi? Basi huna faida na uelewa wowote.
Badala ya kupigia kelele mifumo irekebishwe ili haki itamalaki nyie mnachotwa na hizi ONE MAN SHOW GAMES?
Imagine Makonda aache shughuli zingine zote na kushughulikia kesi zilizo mahakamani ataweza ngapi?
Anachokifanya kwa mafanikio ni kuonyesha kuwa utawala wa chama chake umefikia mwisho maana Instruments zote zime paralyzed
 
Back
Top Bottom