Mbona Zitto Kabwe anasikika zaidi na kufaya majukumu ya Kiongozi wa chama aliyemrithi Dorothy Semu?

Alikuja Kirando Republic na kufanya mkutano pia alidai ametumwa na chama kukusanya wanachama.
 
Ndiye mwenye ushawishi
Kwa Uhai wa chama anapaswa kufanya hivyo
 
Unauliza mbowe na chadema ndio zitto na act hawa ndio wamiliki wa hivi vyama
 
Hiyo mama Hana mvuto wa kisiasa. Hiyo nafasi anageishika Fatma Karume au Maria Sarungi Hali ingekuwa tofauti.
 
Kusema ukwel apa ndo nme mjua mwenyekiti wa ACT nilkua simjui kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…