Mbongo akikuambia nisubiri kidogo elewa kabisa hapo usubiri saa moja ama zaidi

Mbongo akikuambia nisubiri kidogo elewa kabisa hapo usubiri saa moja ama zaidi

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Haya maneno ukiambiwa tu wee jua kabisa kama una kazi unaweza kuta unafanya endelea nayo kabisa.

Imagine mtu yupo zaidi ya km20 una mpigia simu halafu anakuambia dk 0 niko hapo au dk 5 nyingi nishatia nanga hapo mkuu aisee wewe kunywa chai yako vizuri maana utasubiri zaidi ya lisaa nk.

Ukija kwetu sisi wanyatunzu nikikuambia Ima nize huenda ndo basi tena hutaniona maeneo hayo yaani nikipiga hatua mbili mbele na sahau kama nimekuahidi nakuja tena usipo nikumbusha ndo imeisha hivyo.

Ima nize faza ni kauli ya kiutafutaji zaidi ukiambiwa nenda kwako kabisa usitarajie mtu atarudi hapo eti uwe na matumaini hiyo sahau.
 
Alafu tulivyokuwa wasengez, viongozi wetu wakitudanganya tunamind. Unamind nini wakati wewe mwenye umeshazoea kusema uwongo
 
Back
Top Bottom