Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Mzungu alisafiri na Mbongo kwenye ndege*
*wakakaa siti moja*
*Mzungu akamdharau sana Mbongo*
*nakujiona anajua kila kitu duniani!,*
*Akamwambia Mbongo waulizane maswali*
*na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na*
*endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=*
*Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa*
*kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?*
*Mbongo akatoa 500 kuashiria hajui.*
*Na yeye akamuuliza Mzungu ni kitu gani*
*kikienda juu kina miguu minne na kikirudi*
*chini kina miguu mitatu?*
*Mzungu akafikiria akakosa jibu akatoa*
*100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,*
*akauliza ni nini hicho?*
*Mbongo akatoa 500 kuashiria hata yeye*
_hajui!._
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]