Mbongo si wakutania!

Mbongo si wakutania!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Mzungu alisafiri na Mbongo kwenye ndege*
*wakakaa siti moja*
*Mzungu akamdharau sana Mbongo*
*nakujiona anajua kila kitu duniani!,*
*Akamwambia Mbongo waulizane maswali*
*na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na*
*endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=*
*Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa*
*kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?*
*Mbongo akatoa 500 kuashiria hajui.*
*Na yeye akamuuliza Mzungu ni kitu gani*
*kikienda juu kina miguu minne na kikirudi*
*chini kina miguu mitatu?*
*Mzungu akafikiria akakosa jibu akatoa*
*100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,*
*akauliza ni nini hicho?*
*Mbongo akatoa 500 kuashiria hata yeye*
_hajui!._
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Nilishaisoma hii hapa hapa lakini kila nikimaliza kusoma, nakubali kuwa "mbongo si wakutania"
 
[emoji3] [emoji2] Nouma sana hiyoo
 
*Mzungu alisafiri na Mbongo kwenye ndege*
*wakakaa siti moja*
*Mzungu akamdharau sana Mbongo*
*nakujiona anajua kila kitu duniani!,*
*Akamwambia Mbongo waulizane maswali*
*na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na*
*endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=*
*Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa*
*kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?*
*Mbongo akatoa 500 kuashiria hajui.*
*Na yeye akamuuliza Mzungu ni kitu gani*
*kikienda juu kina miguu minne na kikirudi*
*chini kina miguu mitatu?*
*Mzungu akafikiria akakosa jibu akatoa*
*100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,*
*akauliza ni nini hicho?*
*Mbongo akatoa 500 kuashiria hata yeye*
_hajui!._
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Hahahahaaaa. Hapana chezea mbongo.
 
mkuu hadi mbogo naye anapanda ndege, na anakaa siti 1 na mzungu ilifaa aliwe haraka sana
 
Back
Top Bottom