Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
Maneno yake kupitia ukurasa wake Insta
Nini maana ya kuchagua picha hiyo na si nyingine zozote!? It is deliberately done to deliver a certain msg for unknown/ known reasons
Sijakuelewa mkuu naomba unieleweshe kidogo umeniacha kabisa.Je ni picha gani waiongelea?
mtoto wa fally ipupa? au mpoki?
Samuel etoo
Kwanini ionyeshwe picha ya vidole vilivyoshikana na vingine kuachana na si nyingine zozote?
BTW ukitaka kuonyesha picha ya kwa mfano mwanao utaonyesha sura au miguu?
hahahaaaaa.wewe ndio hujaelewa mkuu.Huyo ni binti wa kiislamu.Maadili ya uislamu mtoto na mama watakaa ndani siku 40 baada ya uzazi ndipo watatoka nje na kutuonyesha mtoto na mama yake.Na hapo hakuna kidole kilichoshikana ni picha tu ndio imetoka vibaya mkuu nadhani umenielewa.