Mboni Masimba ajifungua mtoto wa kiume

Mboni Masimba ajifungua mtoto wa kiume

Hahahaaaaa.wewe ndio hujaelewa mkuu.Huyo ni binti wa kiislamu.Maadili ya uislamu mtoto na mama watakaa ndani siku 40 baada ya uzazi ndipo watatoka nje na kutuonyesha mtoto na mama yake.Na hapo hakuna kidole kilichoshikana ni picha tu ndio imetoka vibaya mkuu nadhani umenielewa.
 
Wengine wapo humu kutafuta kasoro tu
 
Back
Top Bottom