Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji1783]Eto'o jr
Unalea niniSamuel etoo
Hahahaaaaa.wewe ndio hujaelewa mkuu.Huyo ni binti wa kiislamu.Maadili ya uislamu mtoto na mama watakaa ndani siku 40 baada ya uzazi ndipo watatoka nje na kutuonyesha mtoto na mama yake.Na hapo hakuna kidole kilichoshikana ni picha tu ndio imetoka vibaya mkuu nadhani umenielewa.
Wengine wapo humu kutafuta kasoro tuHahahaaaaa.wewe ndio hujaelewa mkuu.Huyo ni binti wa kiislamu.Maadili ya uislamu mtoto na mama watakaa ndani siku 40 baada ya uzazi ndipo watatoka nje na kutuonyesha mtoto na mama yake.Na hapo hakuna kidole kilichoshikana ni picha tu ndio imetoka vibaya mkuu nadhani umenielewa.