Mboni Mbita anusuika kifo

Mboni Mbita anusuika kifo

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Gari aliyokuwa akisafiri nayo yapata ajali, yabingirika mara tatu.
Anamshukuru Mungu kwa kumtoa salama.
Source: ukurasa wake wa facebook
 
Gari aliyokuwa akisafiri nayo yapata ajali, yabingirika mara tatu.
Anamshukuru Mungu kwa kumtoa salama.
Source: ukurasa wake wa facebook

Ni yule anaegombea Umakamu mwenyekiti wa UVCCM?
Itakua wamechezeana tu!!
 
Mboni Mbita au Mboni Mhita?huyu dem mbishi kitambo nakumbuka akiwa form 1 anapush VX halafu hana habari!
 
Back
Top Bottom