Nimeangalia kipindi cha mboni show siku ya leo jmos tar 18.1.14 hakika kilikuwa kizuri na nimekipenda wageni waaliku walijitahidi kuzungumzia mengi sana.Waalikwa ni George Masatu Dua Saidi na CBE big up mmenikumbushia enzi za uchezaji wenu mkiwa na akina
Mwameja, anko Tom, Athuman China,Kizota na wengineo.kwa mwandaaji naomba mtitahidi kidogo na kufikia mbali mngejaribu kidogo kutuwekea hata picha/ video zao za kipindi hicho.
Mwameja, anko Tom, Athuman China,Kizota na wengineo.kwa mwandaaji naomba mtitahidi kidogo na kufikia mbali mngejaribu kidogo kutuwekea hata picha/ video zao za kipindi hicho.