Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Ushindani lazima ili mambo yawe sawa katika tasnia hii ya mziki.But hongera yao wote.Aslay na Mboso japokuwa wametoka group moja,Now mmoja WCB mwingine Clouds. But maisha yanaenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani clouds nayo ni record lebel?
N washika dau la bongo music industry
Asley alitangulia kuwa solo artist kabla mbosso na Yuko vizuri but mbosso hajatimiza hata mwaka alitambulishwa rasmi mwezi wa 2 , na anaonekana snapiga hatua kubwa baada ya miaka 2 atakuwa mbali sanaMaromboso si ana bebwa na chama la wana
ila hata aslay asiimbe miaka mi3 bado hawezi kufikia utunzi ,hit song za aslay.
aslay antungo zake ambazo ni adimu kwa sasa ,sikuizi nyimbo ni 'oooh kanishika pnmbu ohh sijui nini ' upuuzi mtupu
Maromboso si ana bebwa na chama la wana
ila hata aslay asiimbe miaka mi3 bado hawezi kufikia utunzi ,hit song za aslay.
aslay antungo zake ambazo ni adimu kwa sasa ,sikuizi nyimbo ni 'oooh kanishika pnmbu ohh sijui nini ' upuuzi mtupu
Yupo clouds si ndo mabosi wakeBasi aslay hayupo clouds
Wanamikataba.Yupo clouds si ndo mabosi wake
Now aslay is nothing from something,but mbosso Ni fire usimlinganishe na vitu vya ajabu kama mwana mpotevu aslay.Maromboso si ana bebwa na chama la wana
ila hata aslay asiimbe miaka mi3 bado hawezi kufikia utunzi ,hit song za aslay.
aslay antungo zake ambazo ni adimu kwa sasa ,sikuizi nyimbo ni 'oooh kanishika pnmbu ohh sijui nini ' upuuzi mtupu
hahahahahahahahaNow aslay is nothing from something,but mbosso Ni fire usimlinganishe na vitu vya ajabu kama mwana mpotevu aslay.
Yes ni kweliAsley alitangulia kuwa solo artist kabla mbosso na Yuko vizuri but mbosso hajatimiza hata mwaka alitambulishwa rasmi mwezi wa 2 , na anaonekana snapiga hatua kubwa baada ya miaka 2 atakuwa mbali sana
Aslay well Yuko vizuri chini ya lebal ya King Empire, nyimbo alizotoa hivi karibuni hazijafanya vizuri kama NATAMBA, nadhani anatakiwa abadilike kidogo kuonyesha utofauti maana naona Kama nyimbo zake zinafanana sana, aende kea producer mwingine Kama s2kizzy au Abber au hata man water itamsaidia
Najua unampenda sana Aslay, ila niamini mimi Mbosso tayari ameshampokea kijiti na sio leo wala kesho utasikia tena Aslay anaweza toa wimbo mkali wa kumfunika Mbosso.. Najua sababu ya mapenzi ni vigumu kuamini ila huo ndio ukweli, muziki una codês dadangu.
Ila kweli aslei noma eti..Hell no
hell No!!!
mbosso anabebwa na Wcb unadhani izo nyimbo zake asingekua wcb nani angezifatilia?
tazama beka flavour na aslay wanatamba bila kiki wala kubebwa.kwasababu wanajua mkuu
maromboso hana mziki wakubattle na aslay nakataa mpaka kesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa hahahaIla kweli aslei noma eti..
==
Princess Ariana
JF-Expert Member
Jan 23, 2017
#1
Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.
Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..
ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)
Mini mbaya kiongozi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa hahaha
Siyo hustarabu mkuu tusameeane.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa hahaha