Mboso vs Aslay mziki ni ushindani siyo yanga na simba pekee

Mboso vs Aslay mziki ni ushindani siyo yanga na simba pekee

Ila kweli aslei noma eti..
==

Princess Ariana
JF-Expert Member
Jan 23, 2017
#1
Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.

Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..

ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)

Haibadilishi Fact aslay is da best.

another one.......
 
Asley alitangulia kuwa solo artist kabla mbosso na Yuko vizuri but mbosso hajatimiza hata mwaka alitambulishwa rasmi mwezi wa 2 , na anaonekana snapiga hatua kubwa baada ya miaka 2 atakuwa mbali sana
Aslay well Yuko vizuri chini ya lebal ya King Empire, nyimbo alizotoa hivi karibuni hazijafanya vizuri kama NATAMBA, nadhani anatakiwa abadilike kidogo kuonyesha utofauti maana naona Kama nyimbo zake zinafanana sana, aende kea producer mwingine Kama s2kizzy au Abber au hata man water itamsaidia
Uzuri wa mbosso unamulikwa na wcb. Piga ua ukiwa wcb hata kama hujui, wale wafia chama la wana ambao hawajari uzuri bali ushabiki watakupenda tu.

Aslay ni noma kwa upande wangu
 
Hell no

hell No!!!
mbosso anabebwa na Wcb unadhani izo nyimbo zake asingekua wcb nani angezifatilia?

tazama beka flavour na aslay wanatamba bila kiki wala kubebwa.kwasababu wanajua mkuu
maromboso hana mziki wakubattle na aslay nakataa mpaka kesho
Uwezi bebwa kama hujui.. ata huyo Aslay asingebebwa na Said Fella usingemfahamu, na sasa hivi huyo Aslay bila kubebwa na Ruge angeshasaaulika. Muziki wa sasa lazima uwe na wa kukushika mkono. Lazima ukubali wakati ni wa Mbosso ndio mitaa imeamua uwezi kuzuia.
 
Niko nasikiliza hii ngoma "hodari" mbosso ni fundi tuseme ukweli..

Lakini mbosso kuwa fundi haimfanyi aslay asiwe fundi.
Aslay naye anajua kinoma lakini ajaribu kubadiri style na zile sifa za mwaka jana zitakuwa zimemlewesha
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Uwezi bebwa kama hujui.. ata huyo Aslay asingebebwa na Said Fella usingemfahamu, na sasa hivi huyo Aslay bila kubebwa na Ruge angeshasaaulika. Muziki wa sasa lazima uwe na wa kukushika mkono. Lazima ukubali wakati ni wa Mbosso ndio mitaa imeamua uwezi kuzuia.
haya mkuu
 
Uzuri wa mbosso unamulikwa na wcb. Piga ua ukiwa wcb hata kama hujui, wale wafia chama la wana ambao hawajari uzuri bali ushabiki watakupenda tu.

Aslay ni noma kwa upande wangu
barabara! This is what i'm talking about
 
Asley alitangulia kuwa solo artist kabla mbosso na Yuko vizuri but mbosso hajatimiza hata mwaka alitambulishwa rasmi mwezi wa 2 , na anaonekana snapiga hatua kubwa baada ya miaka 2 atakuwa mbali sana
Aslay well Yuko vizuri chini ya lebal ya King Empire, nyimbo alizotoa hivi karibuni hazijafanya vizuri kama NATAMBA, nadhani anatakiwa abadilike kidogo kuonyesha utofauti maana naona Kama nyimbo zake zinafanana sana, aende kea producer mwingine Kama s2kizzy au Abber au hata man water itamsaidia
Nyimbo nyingii za aslay ni nzuri za mbosso ni badhii tu ndio nzuri mbosso hana nyimbo nzuri kama za aslay na video za aslay nzuri sana so usimfananishe mbosso na aslay yaani huyo ni chombo nampendaga kushinda diamond .
Nyimbo zake zinaujumbe mzuri nazinafundisha sio mapenzi tu .
Kiufupi kazipangilia vizuri mashairi yake.
 
Back
Top Bottom