Mboso vs Aslay mziki ni ushindani siyo yanga na simba pekee

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Ushindani lazima ili mambo yawe sawa katika tasnia hii ya mziki.But hongera yao wote.Aslay na Mboso japokuwa wametoka group moja,Now mmoja WCB mwingine Clouds. But maisha yanaenda.
 
Maromboso si ana bebwa na chama la wana
ila hata aslay asiimbe miaka mi3 bado hawezi kufikia utunzi ,hit song za aslay.
aslay antungo zake ambazo ni adimu kwa sasa ,sikuizi nyimbo ni 'oooh kanishika pnmbu ohh sijui nini ' upuuzi mtupu
 
Asley alitangulia kuwa solo artist kabla mbosso na Yuko vizuri but mbosso hajatimiza hata mwaka alitambulishwa rasmi mwezi wa 2 , na anaonekana snapiga hatua kubwa baada ya miaka 2 atakuwa mbali sana
Aslay well Yuko vizuri chini ya lebal ya King Empire, nyimbo alizotoa hivi karibuni hazijafanya vizuri kama NATAMBA, nadhani anatakiwa abadilike kidogo kuonyesha utofauti maana naona Kama nyimbo zake zinafanana sana, aende kea producer mwingine Kama s2kizzy au Abber au hata man water itamsaidia
 
Maromboso si ana bebwa na chama la wana
ila hata aslay asiimbe miaka mi3 bado hawezi kufikia utunzi ,hit song za aslay.
aslay antungo zake ambazo ni adimu kwa sasa ,sikuizi nyimbo ni 'oooh kanishika pnmbu ohh sijui nini ' upuuzi mtupu

Najua unampenda sana Aslay, ila niamini mimi Mbosso tayari ameshampokea kijiti na sio leo wala kesho utasikia tena Aslay anaweza toa wimbo mkali wa kumfunika Mbosso.. Najua sababu ya mapenzi ni vigumu kuamini ila huo ndio ukweli, muziki una codês dadangu.
 
Still naamini Aslay ni kipaji kikubwa sana kuliko members wenzake wa Yamoto na nyimbo ana nyimbo nzuri sana japo kutokubadilika/kutoa nyimbo nyingi mfululizo kumemcost maana kwa sasa nyimbo zake hazifatiliwi sana kama ilivyokuwa last year (hapewi attention) nadhani hii ni dalili ya kuchokwa, huku upande wa Mbosso anaendelea kuvuna fanbase kwa kasi. Dalili zinaonesha Mbosso atasurvive mda mrefu kwenye game kuliko Aslay, otherwise abadilike
 
Mbosso khan mshedede ni kiumbe hatariii sanaa yule jamaaa
 
Niko nasikiliza hii ngoma "hodari" mbosso ni fundi tuseme ukweli..

Lakini mbosso kuwa fundi haimfanyi aslay asiwe fundi.
Aslay naye anajua kinoma lakini ajaribu kubadiri style na zile sifa za mwaka jana zitakuwa zimemlewesha
 
Maromboso si ana bebwa na chama la wana
ila hata aslay asiimbe miaka mi3 bado hawezi kufikia utunzi ,hit song za aslay.
aslay antungo zake ambazo ni adimu kwa sasa ,sikuizi nyimbo ni 'oooh kanishika pnmbu ohh sijui nini ' upuuzi mtupu
Now aslay is nothing from something,but mbosso Ni fire usimlinganishe na vitu vya ajabu kama mwana mpotevu aslay.
 
Yes ni kweli
lakini kwa utunzi aslay ni bora zaidi kwangu akifuatiwa na lavalava kwa upande wangu. maana style ya sasa ni kuimba ushenzi ushenzi tu
 
Hell no

hell No!!!
mbosso anabebwa na Wcb unadhani izo nyimbo zake asingekua wcb nani angezifatilia?

tazama beka flavour na aslay wanatamba bila kiki wala kubebwa.kwasababu wanajua mkuu
maromboso hana mziki wakubattle na aslay nakataa mpaka kesho
 
Ila kweli aslei noma eti..
==

Princess Ariana
JF-Expert Member
Jan 23, 2017
#1
Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.

Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..

ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…