Mboso vs Aslay mziki ni ushindani siyo yanga na simba pekee


Haibadilishi Fact aslay is da best.

another one.......
 
Uzuri wa mbosso unamulikwa na wcb. Piga ua ukiwa wcb hata kama hujui, wale wafia chama la wana ambao hawajari uzuri bali ushabiki watakupenda tu.

Aslay ni noma kwa upande wangu
 
Hell no


hell No!!!
mbosso anabebwa na Wcb unadhani izo nyimbo zake asingekua wcb nani angezifatilia?

tazama beka flavour na aslay wanatamba bila kiki wala kubebwa.kwasababu wanajua mkuu
maromboso hana mziki wakubattle na aslay nakataa mpaka kesho
Uwezi bebwa kama hujui.. ata huyo Aslay asingebebwa na Said Fella usingemfahamu, na sasa hivi huyo Aslay bila kubebwa na Ruge angeshasaaulika. Muziki wa sasa lazima uwe na wa kukushika mkono. Lazima ukubali wakati ni wa Mbosso ndio mitaa imeamua uwezi kuzuia.
 
Niko nasikiliza hii ngoma "hodari" mbosso ni fundi tuseme ukweli..

Lakini mbosso kuwa fundi haimfanyi aslay asiwe fundi.
Aslay naye anajua kinoma lakini ajaribu kubadiri style na zile sifa za mwaka jana zitakuwa zimemlewesha
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
haya mkuu
 
Uzuri wa mbosso unamulikwa na wcb. Piga ua ukiwa wcb hata kama hujui, wale wafia chama la wana ambao hawajari uzuri bali ushabiki watakupenda tu.

Aslay ni noma kwa upande wangu
barabara! This is what i'm talking about
 
Nyimbo nyingii za aslay ni nzuri za mbosso ni badhii tu ndio nzuri mbosso hana nyimbo nzuri kama za aslay na video za aslay nzuri sana so usimfananishe mbosso na aslay yaani huyo ni chombo nampendaga kushinda diamond .
Nyimbo zake zinaujumbe mzuri nazinafundisha sio mapenzi tu .
Kiufupi kazipangilia vizuri mashairi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…