Kijana mara oooh! nalishwa pili pili nanyweshwa mchaichai, naogeshwa maji ya battery na kupakwa upupu.....ili mradi uongo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafadhali usije ukanivunja mbavu eti maji ya batteryKijana mara oooh! nalishwa pili pili nanyweshwa mchaichai, naogeshwa maji ya battery na kupakwa upupu.....ili mradi uongo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chapati za alizeti.....mpaka Leo najiuliza na ndo zikoje hizo,[emoji23][emoji23][emoji23] mbosso akisoma uzi wako atajiona mjinga sana na mashairi yake ya kikachori kachori.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaahaah mkuu taratibu utanivunja mbavu,
Sijui nani anamdanganya yule jamaa,huo wimbo mpya aliutoa ulivyopigwa tu redioni wadau wakamchana tumekuchoka badilika, huyo mtangazaji hadi Leo hajaupiga huo wimbo,[emoji23][emoji23]abadilike tumemchoka kujifanya mhindi mweusi ni kazi nguo za kung'aa kila wimbo
Sijui nani anamdanganya yule jamaa,huo wimbo mpya aliutoa ulivyopigwa tu redioni wadau wakamchana tumekuchoka badilika, huyo mtangazaji hadi Leo hajaupiga huo wimbo,
Bila kusahau kitambaa kichwan kama Rambo
Fact mboso anafanya muziki Kama wote tunaishi India na mombasaa[emoji23][emoji23]Ahlan wassalan wana jukwaa huyu kijana wa kuitwa mbosso khan mushedede kutoka viunga vya WCB kiundashi,melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema.
Shida yake ni moja tu habadiliki kila siku nyimbo zile zile,uandishi ule ule,mahadhi Yale Yale kila wimbo anataja maandazi,kachori,chapati,mishikaki Mara nisugue,Mara nnikande,Mara nibebe Mara niteme n.k kiukweli inabidi abadilike kama anataka kufika mbali na kudumu KWENYE gemu kwa muda mrefu,in short mashabiki wamemchoka ushahidi ni huu wimbo wake mpya wa ate mahadhi Yale Yale,uandishi ule ule,hadi mashabiki wameamua kumchana abadilike wamemchoka,yangu ni hayo tu
"Njoo kichwa kichwa ule za uso saba"
Mashabiki zake gani waliochoka?Ahlan wassalan wana jukwaa huyu kijana wa kuitwa mbosso khan mushedede kutoka viunga vya WCB kiundashi,melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema.
Shida yake ni moja tu habadiliki kila siku nyimbo zile zile,uandishi ule ule,mahadhi Yale Yale kila wimbo anataja maandazi,kachori,chapati,mishikaki Mara nisugue,Mara nnikande,Mara nibebe Mara niteme n.k kiukweli inabidi abadilike kama anataka kufika mbali na kudumu KWENYE gemu kwa muda mrefu,in short mashabiki wamemchoka ushahidi ni huu wimbo wake mpya wa ate mahadhi Yale Yale,uandishi ule ule,hadi mashabiki wameamua kumchana abadilike wamemchoka,yangu ni hayo tu
"Njoo kichwa kichwa ule za uso saba"
Waziri Jaffo alimsema Mkandarasi mpk akazimia.Kweli Mungu hawezi kukunyima vyote! Hakika Wabongo tumejaliwa kipaji cha kuongea aisee! Siyo kwa madongo hayo!