Kumbukumbuyatorati
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 152
- 221
Siku moja maneno yako yatakusutaWewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.
Asipobadilika huyo hatoboi. Huyu alifichwa na kundi, akiimba mistari minne unahisi anajua kumbe daah.
Uzuri wa muziki ni vyombo, sauti na melody lyrics siyo sana. Ukisema wimbo mzuri kisa lyrics wimbo wa Diamond African Beauty ungehesabiwa ni mbovu.
Ndiyo maana Saida Karoli alituteka hata Wazaramo tusiojua Kihaya ila ni vyombo, melody na sauti yake ni sawa na Zahara na Loliwe yake.
Wimbo ambao lebo ilitaka uwe hit ulikua ni Watakubali, wimbo ukawa shit. Ukaja Picha Yake, shit vilevile, wimbo wa kulilia mwanamke arudi ukawa shit pia, Nadekezwa akaamua kuiba bridge toka kwenye wimbo unaitwa Jamana remix bado likawa bomu.
Binafsi nahisi kinachomponza ni lile jina Khan alilojiongezea mbele, anatumia muda mwingi kuimba 'oooooh ooooohhh hooooooo' na kutaka nyimbo ziwe na mahadhi ya songs za kwenye filamu za kihindi.
Wcb wameingia mkenge hapa na kwa Lavalava ingawa naamini watu wanamsikiliza Lavalava kuliko huyu.
Elewa.Siku moja maneno yako yatakusuta
Kula Like !!umeongea safiWewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.
Asipobadilika huyo hatoboi. Huyu alifichwa na kundi, akiimba mistari minne unahisi anajua kumbe daah.
Uzuri wa muziki ni vyombo, sauti na melody lyrics siyo sana. Ukisema wimbo mzuri kisa lyrics wimbo wa Diamond African Beauty ungehesabiwa ni mbovu.
Ndiyo maana Saida Karoli alituteka hata Wazaramo tusiojua Kihaya ila ni vyombo, melody na sauti yake ni sawa na Zahara na Loliwe yake.
Wimbo ambao lebo ilitaka uwe hit ulikua ni Watakubali, wimbo ukawa shit. Ukaja Picha Yake, shit vilevile, wimbo wa kulilia mwanamke arudi ukawa shit pia, Nadekezwa akaamua kuiba bridge toka kwenye wimbo unaitwa Jamana remix bado likawa bomu.
Binafsi nahisi kinachomponza ni lile jina Khan alilojiongezea mbele, anatumia muda mwingi kuimba 'oooooh ooooohhh hooooooo' na kutaka nyimbo ziwe na mahadhi ya songs za kwenye filamu za kihindi.
Wcb wameingia mkenge hapa na kwa Lavalava ingawa naamini watu wanamsikiliza Lavalava kuliko huyu.
asipoelewa hii akalaleWewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.

Si kweli hata kidogoo...Wewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.

Chuki?Si kweli hata kidogoo...
Mbosso yuko super sana.
Punguza chuki.
Umeongea pumba mkuuWewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.
Asipobadilika huyo hatoboi. Huyu alifichwa na kundi, akiimba mistari minne unahisi anajua kumbe daah.
Uzuri wa muziki ni vyombo, sauti na melody lyrics siyo sana. Ukisema wimbo mzuri kisa lyrics wimbo wa Diamond African Beauty ungehesabiwa ni mbovu.
Ndiyo maana Saida Karoli alituteka hata Wazaramo tusiojua Kihaya ila ni vyombo, melody na sauti yake ni sawa na Zahara na Loliwe yake.
Wimbo ambao lebo ilitaka uwe hit ulikua ni Watakubali, wimbo ukawa shit. Ukaja Picha Yake, shit vilevile, wimbo wa kulilia mwanamke arudi ukawa shit pia, Nadekezwa akaamua kuiba bridge toka kwenye wimbo unaitwa Jamana remix bado likawa bomu.
Binafsi nahisi kinachomponza ni lile jina Khan alilojiongezea mbele, anatumia muda mwingi kuimba 'oooooh ooooohhh hooooooo' na kutaka nyimbo ziwe na mahadhi ya songs za kwenye filamu za kihindi.
Wcb wameingia mkenge hapa na kwa Lavalava ingawa naamini watu wanamsikiliza Lavalava kuliko huyu.
Punguza chuki mkuu maama wcb ndo lebo kubwa Africa kwa sasaWrite your reply...
Hapo wcb waliingia mkenge!.Wabongo wanegoma kumuelewa....
Halafu zamani Watu walikuwa na shobo sana na wcb kiasi kwamba ata wasanii walijua ukiingia wcb basi unatoboa mazma!
Umeongea pumba mkuu
Nyinyi msiojua muziki mnatusumbua sana shenzi zako unakuja kusema nimeongea pumba halafu ujinga wako unashindwa kuuback up. Wcb kubwa Afrika kushindwa Mavins? Kushinda Made Men?Punguza chuki mkuu maama wcb ndo lebo kubwa Africa kwa sasa