Mbosso hapendwi lakini nyimbo zake ndo tunalala nazo

Wewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.

Asipobadilika huyo hatoboi. Huyu alifichwa na kundi, akiimba mistari minne unahisi anajua kumbe daah.

Uzuri wa muziki ni vyombo, sauti na melody lyrics siyo sana. Ukisema wimbo mzuri kisa lyrics wimbo wa Diamond African Beauty ungehesabiwa ni mbovu.

Ndiyo maana Saida Karoli alituteka hata Wazaramo tusiojua Kihaya ila ni vyombo, melody na sauti yake ni sawa na Zahara na Loliwe yake.

Wimbo ambao lebo ilitaka uwe hit ulikua ni Watakubali, wimbo ukawa shit. Ukaja Picha Yake, shit vilevile, wimbo wa kulilia mwanamke arudi ukawa shit pia, Nadekezwa akaamua kuiba bridge toka kwenye wimbo unaitwa Jamana remix bado likawa bomu.

Binafsi nahisi kinachomponza ni lile jina Khan alilojiongezea mbele, anatumia muda mwingi kuimba 'oooooh ooooohhh hooooooo' na kutaka nyimbo ziwe na mahadhi ya songs za kwenye filamu za kihindi.

Wcb wameingia mkenge hapa na kwa Lavalava ingawa naamini watu wanamsikiliza Lavalava kuliko huyu.
 
Siku moja maneno yako yatakusuta
 
Kula Like !!umeongea safi
 
asipoelewa hii akalale
 
Write your reply...
Hapo wcb waliingia mkenge!.Wabongo wanegoma kumuelewa....
Halafu zamani Watu walikuwa na shobo sana na wcb kiasi kwamba ata wasanii walijua ukiingia wcb basi unatoboa mazma!
 
Si kweli hata kidogoo...

Mbosso yuko super sana.

Punguza chuki.
 
Si kweli hata kidogoo...

Mbosso yuko super sana.

Punguza chuki.
Chuki?

Yaani kuandika nini kinamharibia ni chuki? Ila sawa tu maana wewe ndiye unaamini Q Chilla ana nafasi kubwa kwa muziki wa sasa hivi.

Hujui muziki kaa kushoto. Kama unahisi unaujua onyesha strength za nyimbo zake zote alizotoa halafu fananisha na aliotoka nao kundi moja.
 
Last edited:
Wewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.

Asipobadilika huyo hatoboi. Huyu alifichwa na kundi, akiimba mistari minne unahisi anajua kumbe daah.

Uzuri wa muziki ni vyombo, sauti na melody lyrics siyo sana. Ukisema wimbo mzuri kisa lyrics wimbo wa Diamond African Beauty ungehesabiwa ni mbovu.

Ndiyo maana Saida Karoli alituteka hata Wazaramo tusiojua Kihaya ila ni vyombo, melody na sauti yake ni sawa na Zahara na Loliwe yake.

Wimbo ambao lebo ilitaka uwe hit ulikua ni Watakubali, wimbo ukawa shit. Ukaja Picha Yake, shit vilevile, wimbo wa kulilia mwanamke arudi ukawa shit pia, Nadekezwa akaamua kuiba bridge toka kwenye wimbo unaitwa Jamana remix bado likawa bomu.

Binafsi nahisi kinachomponza ni lile jina Khan alilojiongezea mbele, anatumia muda mwingi kuimba 'oooooh ooooohhh hooooooo' na kutaka nyimbo ziwe na mahadhi ya songs za kwenye filamu za kihindi.

Wcb wameingia mkenge hapa na kwa Lavalava ingawa naamini watu wanamsikiliza Lavalava kuliko huyu.
Umeongea pumba mkuu
 
Write your reply...
Hapo wcb waliingia mkenge!.Wabongo wanegoma kumuelewa....
Halafu zamani Watu walikuwa na shobo sana na wcb kiasi kwamba ata wasanii walijua ukiingia wcb basi unatoboa mazma!
Punguza chuki mkuu maama wcb ndo lebo kubwa Africa kwa sasa
 
Lavalava na mbosso wanachokiimba hata siwaelewi..
Mimi naona labda wajaribu ma collabo labda yatawatoa.

Lkn kwa style hii ya kuimba kaswida bado hawajanipata kuzikubali ngoma zao
 
mbosso anajua sana mwanzo hata mie sikumuelewa ila kila siku zinavyo zid kwenda nang'amua dogo ni hatari sana katika kuimba
 
Back
Top Bottom