Huyu mwana dada namkubar zahara anasautWewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.
Asipobadilika huyo hatoboi. Huyu alifichwa na kundi, akiimba mistari minne unahisi anajua kumbe daah.
Uzuri wa muziki ni vyombo, sauti na melody lyrics siyo sana. Ukisema wimbo mzuri kisa lyrics wimbo wa Diamond African Beauty ungehesabiwa ni mbovu.
Ndiyo maana Saida Karoli alituteka hata Wazaramo tusiojua Kihaya ila ni vyombo, melody na sauti yake ni sawa na Zahara na Loliwe yake.
Wimbo ambao lebo ilitaka uwe hit ulikua ni Watakubali, wimbo ukawa shit. Ukaja Picha Yake, shit vilevile, wimbo wa kulilia mwanamke arudi ukawa shit pia, Nadekezwa akaamua kuiba bridge toka kwenye wimbo unaitwa Jamana remix bado likawa bomu.
Binafsi nahisi kinachomponza ni lile jina Khan alilojiongezea mbele, anatumia muda mwingi kuimba 'oooooh ooooohhh hooooooo' na kutaka nyimbo ziwe na mahadhi ya songs za kwenye filamu za kihindi.
Wcb wameingia mkenge hapa na kwa Lavalava ingawa naamini watu wanamsikiliza Lavalava kuliko huyu.
Wabongo sijui wanataka dogo aimbe nini?
Umeenda vizuri mpaka pale uliposema Nadekezwa pia bomu, nikaacha kusoma.Wewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.
Asipobadilika huyo hatoboi. Huyu alifichwa na kundi, akiimba mistari minne unahisi anajua kumbe daah.
Uzuri wa muziki ni vyombo, sauti na melody lyrics siyo sana. Ukisema wimbo mzuri kisa lyrics wimbo wa Diamond African Beauty ungehesabiwa ni mbovu.
Ndiyo maana Saida Karoli alituteka hata Wazaramo tusiojua Kihaya ila ni vyombo, melody na sauti yake ni sawa na Zahara na Loliwe yake.
Wimbo ambao lebo ilitaka uwe hit ulikua ni Watakubali, wimbo ukawa shit. Ukaja Picha Yake, shit vilevile, wimbo wa kulilia mwanamke arudi ukawa shit pia, Nadekezwa akaamua kuiba bridge toka kwenye wimbo unaitwa Jamana remix bado likawa bomu.
Binafsi nahisi kinachomponza ni lile jina Khan alilojiongezea mbele, anatumia muda mwingi kuimba 'oooooh ooooohhh hooooooo' na kutaka nyimbo ziwe na mahadhi ya songs za kwenye filamu za kihindi.
Wcb wameingia mkenge hapa na kwa Lavalava ingawa naamini watu wanamsikiliza Lavalava kuliko huyu.
Utanisamehe ndugu yangu.Umeenda vizuri mpaka pale uliposema Nadekezwa pia bomu, nikaacha kusoma.
Nishakusamehe najua binadamu tumeumbwa kila mtu na utashi wakeUtanisamehe ndugu yangu.
Binadamu ni viumbe vya Ajabu sana, Nyimbo anazoimba diamond siku izi mnasema amebaki kuimba matusi ,, Na nyimbo zina hit, sasa hawa kina mboso, lavalava wakiimba nyimbo mnazo zitaka mnasema hawajui kuimba sasa nyie mnachotaka ni nini????Lavalava na mbosso wanachokiimba hata siwaelewi..
Mimi naona labda wajaribu ma collabo labda yatawatoa.
Lkn kwa style hii ya kuimba kaswida bado hawajanipata kuzikubali ngoma zao
Mkuu wewe unaona mbosso na diamond wanaimba style sawa??Binadamu ni viumbe vya Ajabu sana, Nyimbo anazoimba diamond siku izi mnasema amebaki kuimba matusi ,, Na nyimbo zina hit, sasa hawa kina mboso, lavalava wakiimba nyimbo mnazo zitaka mnasema hawajui kuimba sasa nyie mnachotaka ni nini????
kama kaongea pumba basi wewe msomaji ni kukuUmeongea pumba mkuu
Kama Aslay na beka fleva wote hawabadiliki.Huyu Mboso tatizo hana style nyimbo zake zote zinafanana....ukisikiliza kuanzia watakubali mpaka hii mpya unaweza kudhani ni muendelezo wa nyimbo moja kuanzia Sauti,style mpaka uandishi
Lavalava anafiti kwenye taarabuHata mimi namuelewaelewa LavaLava kuliko Mbosso, expectations zilikuwa kubwa ila anafanya kazi za kawaida
Sio kwangwaru?Nadekezwa aisee ni bonge moja la nyimbo, ndio nyimbo nnayoisikiliza kuliko zote.