Mbosso hapendwi lakini nyimbo zake ndo tunalala nazo

Wewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.

Asipobadilika huyo hatoboi. Huyu alifichwa na kundi, akiimba mistari minne unahisi anajua kumbe daah.

Uzuri wa muziki ni vyombo, sauti na melody lyrics siyo sana. Ukisema wimbo mzuri kisa lyrics wimbo wa Diamond African Beauty ungehesabiwa ni mbovu.

Ndiyo maana Saida Karoli alituteka hata Wazaramo tusiojua Kihaya ila ni vyombo, melody na sauti yake ni sawa na Zahara na Loliwe yake.

Wimbo ambao lebo ilitaka uwe hit ulikua ni Watakubali, wimbo ukawa shit. Ukaja Picha Yake, shit vilevile, wimbo wa kulilia mwanamke arudi ukawa shit pia, Nadekezwa akaamua kuiba bridge toka kwenye wimbo unaitwa Jamana remix bado likawa bomu.

Binafsi nahisi kinachomponza ni lile jina Khan alilojiongezea mbele, anatumia muda mwingi kuimba 'oooooh ooooohhh hooooooo' na kutaka nyimbo ziwe na mahadhi ya songs za kwenye filamu za kihindi.

Wcb wameingia mkenge hapa na kwa Lavalava ingawa naamini watu wanamsikiliza Lavalava kuliko huyu.
Huyu mwana dada namkubar zahara anasaut
 
Hakuna kama mbosso kwa kweli!mbosso anajua,ana manjonjo kwenye uimbaji!Nadekezwa na Picha yake ni ngoma kaali sana.
 
Wewe utakua ndiyo unamuongopea huyo mtoto.

Asipobadilika huyo hatoboi. Huyu alifichwa na kundi, akiimba mistari minne unahisi anajua kumbe daah.

Uzuri wa muziki ni vyombo, sauti na melody lyrics siyo sana. Ukisema wimbo mzuri kisa lyrics wimbo wa Diamond African Beauty ungehesabiwa ni mbovu.

Ndiyo maana Saida Karoli alituteka hata Wazaramo tusiojua Kihaya ila ni vyombo, melody na sauti yake ni sawa na Zahara na Loliwe yake.

Wimbo ambao lebo ilitaka uwe hit ulikua ni Watakubali, wimbo ukawa shit. Ukaja Picha Yake, shit vilevile, wimbo wa kulilia mwanamke arudi ukawa shit pia, Nadekezwa akaamua kuiba bridge toka kwenye wimbo unaitwa Jamana remix bado likawa bomu.

Binafsi nahisi kinachomponza ni lile jina Khan alilojiongezea mbele, anatumia muda mwingi kuimba 'oooooh ooooohhh hooooooo' na kutaka nyimbo ziwe na mahadhi ya songs za kwenye filamu za kihindi.

Wcb wameingia mkenge hapa na kwa Lavalava ingawa naamini watu wanamsikiliza Lavalava kuliko huyu.
Umeenda vizuri mpaka pale uliposema Nadekezwa pia bomu, nikaacha kusoma.
 
Lavalava na mbosso wanachokiimba hata siwaelewi..
Mimi naona labda wajaribu ma collabo labda yatawatoa.

Lkn kwa style hii ya kuimba kaswida bado hawajanipata kuzikubali ngoma zao
Binadamu ni viumbe vya Ajabu sana, Nyimbo anazoimba diamond siku izi mnasema amebaki kuimba matusi ,, Na nyimbo zina hit, sasa hawa kina mboso, lavalava wakiimba nyimbo mnazo zitaka mnasema hawajui kuimba sasa nyie mnachotaka ni nini????
 
Mkuu wewe unaona mbosso na diamond wanaimba style sawa??
Mbosso anaimba kwaya sio kwaya taarabu sio taarabu nachi sio nachi yaani kifupi haeleweki
 
Watu wanatatizo na mahadhi ya nyimbo anazoimba Mboso lakini naamini wanakubali kipaji chake. Haiwezekani WCB wote wakaimba nyimbo zenye mahadhi yaleyale...Chibu na Konde Boy wamejipambanua kwa kuimba nyimbo zenye kuchezeka zaidi kutokana na beats zake. Mboso na Lavalava wanaimba mahadhi ya taratibu na ujumbe wake unafika polepole....tumuunge mkono kijana kaamua kuacha ukabaji atafute ridhiki halali
 
Huyu Mboso tatizo hana style nyimbo zake zote zinafanana....ukisikiliza kuanzia watakubali mpaka hii mpya unaweza kudhani ni muendelezo wa nyimbo moja kuanzia Sauti,style mpaka uandishi
 
Kama Aslay na beka fleva wote hawabadiliki.
 
Mbosso nampenda,

Lavalava ana kipaji,sana tu,ingawa mtunzi wa nyimbo zake haeleweki
 
Back
Top Bottom