sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
wamekaaaaaaaaaaaavizuri
maisha yako umeyakosea mwenyewe usinilaum mm mkuuUnapo weka video hakikisha basi unatupa na mb za kuistream hyo video
Umetisha mkuumaisha yako umeyakosea mwenyewe usinilaum mm mkuu
Acha wivu mtoto wa kiumeWimbo mbovu sana
You think like a middle class, thickmaisha yako umeyakosea mwenyewe usinilaum mm mkuu
Ahaah yaan weweHii ngoma ni kali sana japo sijaisikia wala kuiona sema ina tatizo moja tu na tatizo lenyewe hata nikilitazama halipo
Wala usifananishe,WCB ni kawaida kuachia ngoma mfululizo,hawajadiligi hela ya studio wale ni kuingia na kutoa kitu tu.Sasa wewe ndo mfananishaji .Muacheni Mboso kasubir muda sana kutoa ngoma,hii ni ya2 mpaka zifike12Madale mnajaribu kumshindanisha Mbosso na Aslay na hapo ndipo mnapompa presha na kumuharibu huyu mtoto.
kwa Ushauri huyu mtoto anahitaji uangalizi makini Ili afike level ZA Aslay na wala mashindanisho.
mkuu kwani mbosso hatakiwi kutoa nyimbo?Madale mnajaribu kumshindanisha Mbosso na Aslay na hapo ndipo mnapompa presha na kumuharibu huyu mtoto.
kwa Ushauri huyu mtoto anahitaji uangalizi makini Ili afike level ZA Aslay na wala mashindanisho.
Sijawahi kukuunga mkono ila kwa hili nakubariana na wewe. Pressure ya WCB kushindana na watu ndiyo inafanya watoe nyimbo mbovu mtu hafanyi kitu akiwa ka relax mwisho wa siku ufundi mwingi uharibu mchuziMadale mnajaribu kumshindanisha Mbosso na Aslay na hapo ndipo mnapompa presha na kumuharibu huyu mtoto.
kwa Ushauri huyu mtoto anahitaji uangalizi makini Ili afike level ZA Aslay na wala mashindanisho.