Mbosso Khan aendelea kugawa dozi...ashusha nyimbo nyingine ya kufa mtu (Nimekuzoea)

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066

mbosso khan anaendelea kutoa dozi ya kuua mtu. wale haters endeleeni ila jueni ajaja kushndana na mtu anafanya yake mziki mzuri unaongea hakuna anaeweza zuia hii talent.... watu wanaweweseka hatari paleeeee
 
Madale mnajaribu kumshindanisha Mbosso na Aslay na hapo ndipo mnapompa presha na kumuharibu huyu mtoto.

kwa Ushauri huyu mtoto anahitaji uangalizi makini Ili afike level ZA Aslay na wala mashindanisho.
 
Unapo weka video hakikisha basi unatupa na mb za kuistream hyo video
 
Madale mnajaribu kumshindanisha Mbosso na Aslay na hapo ndipo mnapompa presha na kumuharibu huyu mtoto.

kwa Ushauri huyu mtoto anahitaji uangalizi makini Ili afike level ZA Aslay na wala mashindanisho.
Wala usifananishe,WCB ni kawaida kuachia ngoma mfululizo,hawajadiligi hela ya studio wale ni kuingia na kutoa kitu tu.Sasa wewe ndo mfananishaji .Muacheni Mboso kasubir muda sana kutoa ngoma,hii ni ya2 mpaka zifike12
Stay tuned mzee
 
ngoja nikaicheki na mie...kwenye Watakubali zaidi nimependa sehemu mbili tu "vipi nitakidhi mahitaji yako,yangu yananishinda hali mbaya sina hata godoro....." na "raha ya mapenzi ushemeji kucheka dada na majirani..." cjui hii ntapenda vipande gani

Dogo aendelee kukaza ili at least afike level za Aslay ambae anafukuziwa na beka flevor...tatizo la beka ngoma anazitoa kwa kunyatia sana
 
Madale mnajaribu kumshindanisha Mbosso na Aslay na hapo ndipo mnapompa presha na kumuharibu huyu mtoto.

kwa Ushauri huyu mtoto anahitaji uangalizi makini Ili afike level ZA Aslay na wala mashindanisho.
mkuu kwani mbosso hatakiwi kutoa nyimbo?
wanamshindanisha vipi hapo mkuu?
 
Madale mnajaribu kumshindanisha Mbosso na Aslay na hapo ndipo mnapompa presha na kumuharibu huyu mtoto.

kwa Ushauri huyu mtoto anahitaji uangalizi makini Ili afike level ZA Aslay na wala mashindanisho.
Sijawahi kukuunga mkono ila kwa hili nakubariana na wewe. Pressure ya WCB kushindana na watu ndiyo inafanya watoe nyimbo mbovu mtu hafanyi kitu akiwa ka relax mwisho wa siku ufundi mwingi uharibu mchuzi
 
Back
Top Bottom