Mbosso Khan aendelea kugawa dozi...ashusha nyimbo nyingine ya kufa mtu (Nimekuzoea)

Madale mnajaribu kumshindanisha Mbosso na Aslay na hapo ndipo mnapompa presha na kumuharibu huyu mtoto.

kwa Ushauri huyu mtoto anahitaji uangalizi makini Ili afike level ZA Aslay na wala mashindanisho.

aslay anagusa mioyo/moyo

huyu kuna mahali anakosea ID yake inakuwa haipo maana aina hii ya nyimbo Rayvannavy yuko vizuri sana
 
Sijawahi kukuunga mkono ila kwa hili nakubariana na wewe. Pressure ya WCB kushindana na watu ndiyo inafanya watoe nyimbo mbovu mtu hafanyi kitu akiwa ka relax mwisho wa siku ufundi mwingi uharibu mchuzi

wcb awana wa kushindana nae wanafanya yao kwa shabik zao msiwaonee kijicho
 
wcb awana wa kushindana nae wanafanya yao kwa shabik zao msiwaonee kijicho
Personally mimi shabiki wa wcb hasa diamond so usidhan kila anayesema jambo tofauti siyo shabiki.
Ukweli na ni ukweli uliodhahiri kuna pressure ya ufanyaji kazi na hii inatokana na wao kutaka ku meet expectations za mashabiki na kuonyesha pia wao ndiyo wakali.
Hili si jambo la ajabu ni jambo la kawaida kwa kila mtu akiwa kafika level flani hujikuta anafanya vitu under pressure
 
ndio nimekujulishabsasa wcb awashindani na mtu watu wanajaribu kuwasemea mbovu mbona awasemi kuusu label zingine wasanii wao wakitoa nyimbo ooh wanatafuta kiki sasa mlitaka wakalime
 
ndio nimekujulishabsasa wcb awashindani na mtu watu wanajaribu kuwasemea mbovu mbona awasemi kuusu label zingine wasanii wao wakitoa nyimbo ooh wanatafuta kiki sasa mlitaka wakalime
Ukubwa ni pamoja na kusema huwezi kusemwa usipokuwa mkubwa. Ukiwa mkubwa utasemwa sana kwa mazuri na mabaya hivyo usishangae.
Hata clouds inasemwa sana kwakuwa ndiyo redio kubwa hakuna kingine.
Kataa ukubari wana pressure kwasababu people keep demanding good music from them na ni matarajio ya wengi vitu vipya na vizuri vitoke wcb halafu wengine waige
 
Ki ukweli hao madogo walitakiwa watoke kivyao ila kitendo cha kuingia wcb watapotea angalia rich mavoko tayari kesha potea kwasababu unapozungumzia wcb unamzungumzia domo,domo naye kila mwezi anatoa nyimbo na mameneja wao macho yao yote yako kwa domo ,hivyo hao madogo kutoboa ni ngumu sana angalia wale wengine walishapotea
 

nimekusoma sana mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…