Mbosso khan ameleta balaa nyingine mpya

Mbosso khan ameleta balaa nyingine mpya

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066

mbosso khan aka mshedede ametuletea kitu kipya chakuitwa Alele.

balaa alilokuja nalo huyu mnyama ndio maana watu wamepagawa wanataka kukata umeme tishio jipya mjini mhind wa kusin
 
Kwa sisi wenye library za muziki huu siyo wimbo mpya, isipokua kautambulisha kama mpya.

Ninao zaidi ya wiki mbili

Na siyo mzuri kama unavyoupamba
 
huu wimbo nimeusikiliza nusu tu umenikinai hovyo kabisa

anaanzaje umo,,,nyama zetu za ulimi zikikutana asali, bonyea chini chagama kama tayari....alafu anakupigia kama umeniloga mganga wako fundi mama ameniweza nilichomeza mimi mimi sijatema

hatari sana huyu dogo hahahahaahahaha
 
diamond anabeba wanamuziki wabovu ili wasimfunike hatari sana
mhindi wa kusini huyo anakuja kuwafundisha mziki watotot wadg hahahahaha ukimskia utafikiri unaskiza franco makiadi au tabu ley magwiji wa rhumba
 
Daa nyimbo gani hii wewe cbora nisikilize hata bangi bangi bangi imenifanya nisote
 
mbosso khan aka mshedede ametuletea kitu kipya chakuitwa Alele.

balaa alilokuja nalo huyu mnyama ndio maana watu wamepagawa wanataka kukata umeme tishio jipya mjini mhind wa kusin

Haka kawimbo ukikaplay bank unapata mkopo bila riba.
 
Daa nyimbo gani hii wewe cbora nisikilize hata bangi bangi bangi imenifanya nisote
Mwenye Hiyo Avater Najuana Naye Vilivyo Je Ndio Wewe Au Umeweka Tu ? Kabila Lake Mchagga Jina Uje Pm Na Ole Wako Usiwe Wewe
 
Back
Top Bottom