sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
mbosso khan aka mshedede ametuletea kitu kipya chakuitwa Alele.
balaa alilokuja nalo huyu mnyama ndio maana watu wamepagawa wanataka kukata umeme tishio jipya mjini mhind wa kusin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
diamond anabeba wanamuziki wabovu ili wasimfunike hatari sana
huu wimbo nimeusikiliza nusu tu umenikinai hovyo kabisa
Wanampa promo kubwa nyumba za kawaida tudiamond anabeba wanamuziki wabovu ili wasimfunike hatari sana
huu wimbo nimeusikiliza nusu tu umenikinai hovyo kabisa
nikishuka kifuani beby nataka supu ya nyama laiiini kama mapupu hahahahah mapupu unayajua wewe wa kishua uwezi elewa ukali wa hzi pigoWanampa promo kubwa nyumba za kawaida tu
mhindi wa kusini huyo anakuja kuwafundisha mziki watotot wadg hahahahaha ukimskia utafikiri unaskiza franco makiadi au tabu ley magwiji wa rhumbadiamond anabeba wanamuziki wabovu ili wasimfunike hatari sana
mwanamke unavuta ganja utajuaje vitu vzr na unapenda bangeDaa nyimbo gani hii wewe cbora nisikilize hata bangi bangi bangi imenifanya nisote
hahahajahajaha umeona eeeh wimbo unatililika kwenye hamoglobin aleleleleiko powa
Pole sana..!huu wimbo nimeusikiliza nusu tu umenikinai hovyo kabisa
mbosso khan aka mshedede ametuletea kitu kipya chakuitwa Alele.
balaa alilokuja nalo huyu mnyama ndio maana watu wamepagawa wanataka kukata umeme tishio jipya mjini mhind wa kusin
Mwenye Hiyo Avater Najuana Naye Vilivyo Je Ndio Wewe Au Umeweka Tu ? Kabila Lake Mchagga Jina Uje Pm Na Ole Wako Usiwe WeweDaa nyimbo gani hii wewe cbora nisikilize hata bangi bangi bangi imenifanya nisote