Mbosso khan ameleta balaa nyingine mpya

Mbosso khan ameleta balaa nyingine mpya

Hata maana ya issues na personalities huijui umeandika tu.
Ningesema tatizo marombosso ni malaya halafu mfupi hiyo ni personality yake ila nimesema tatizo wcb wana work under pressure hiyo ni issue.
Usijali nitaendelea kukuelimisha taratibu.
Una swali la ziada?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Muungwana akikosea anakubali makosa yake. Huu uzi ulikuwa unahusu Mbosso sasa masuala ya Aslay yametoka wapi? Huu nimekuambia ni ushamba uliopitwa na wakati. Tatizo lako wewe ni ushabiki umekujaa mpaka huoni mambo ya maana. Sasa unaongelea pressure!!? Kwahiyo wanamziki wasitoe nyimbo? Umewahi kusikia wimbo wowote wa mbosso kama solo artist?
Yeye ndiyo mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Ametoa nyimbo mbili tu. Halafu wewe unakuja na povu hapa.
Give him time kama wengine mlivyowapa muda.
Ninauhakika hiki unachokifanya ni undezi na ushamba fulani.
 
Wewe ndiye mshamba kweli na una uelewa finyu.
Umesoma hilo jibu nimemquote aliyesema aslay ndiye angefaa kuchukuliwa na wcb hapo ndipo nimemjibu kwa kumwongelea aslay.
And by the way mziki mzuri kweli hauhitaji muda ukiusikia tu moyo utasema wooow huu mziki mzuri hata kama lugha huielewi. Ukiona eti unajipa muda kuupenda mziki basi ujue siyo mzuri unaukariri upate kuuzoea.
halafu hata unayoyaandika huyaelewi.
Hivi somo langu la utofauti kati ya personalities na issues umelielewa au unahitaji mifano zaidi kijana?

Dogo achakubwatuka kama mpumbavu. Uwe na heshima kwa wakubwa zako. Nakuona unaendeleza upuuzi wa kwenye FB humu. Hapa tunaongelea Mbosso. Masuala ya Aslay na wengine yametoka wapi?
Hapa inaonesha namna ulivyomshamba na mtu wa kuendekeza ligi. Kama ungekuwa na akili timamu ungejifunza niliyokuelekeza na kukaa kimya. Huoni mwenzako kakaa kimya baada ya kuona kakosea!?
Hizo ligi zebu hizo ni za kishamba. Wenzio wanajitafutia kipato, wewe unawakashifu hizo ni roho za kichawi.
 
Mbona mgumu wa kuelewa we mwanafunzi wa shule ya kata.
Uache kudandia treni kwa mbele rudi ukatazame nliye mquote alisema nini mjini hapa usiparamie wanaume usiowajua shauri yako.
Nani kamkashifu mtu unaweza kunionyesha mahali nilipowakashifu?
Una uelewa mdogo bwana mdogo hiyo ni personality yako halafu unataka discuss mambo yaliyokuzidi uwezo na watu waliokuzidi uelewa hiyo ni issue sasa.
Nimekupa mfano halisi labda utajua tofauti kati ya personalities na issues...
Una swali la ziada?
 
Mbosoo fundi sanaaa katoa ngoma nyingineee...!!
 
Back
Top Bottom