Apunguze spidi na mafumbo yake, atapigwa ban.Wasalaam...
Huyu dogo aiseee hizi nyimbo zake daaah sijui kamusi ya mahaba anatolea wapi. Ukisikiliza vizuri mashairi ya nyimbo zake lazima uso wako ujae tabasamu lisilo na unafiki ndani ya moyo...
Anafanya vizuri sana kiukweli...
HONGERA MBOSSO.
Mkuu kuna hii mpya ya OMG inaitwa solo.. yaani kizzy ni hatari kwenye trapHuyu S2Kizzy huyu kwakweli ni hatari sana hii trap ya country wizzy hatari tupu yani ukimweka mzee Jones wa Kalighrapher weka mbali na mashangazi
Nshaiskia ni hatari sana aisee, dogo anajua kshenzi yani dogo ni hatari kwasasa kwenye beat ni homa yule halafu beat zake ziko mastered vzuriMkuu kuna hii mpya ya OMG inaitwa solo.. yaani kizzy ni hatari kwenye trap
Japo mimi sielewi ngoma za kulia lia hii naipenda sana hasa bridge yake na napenda ya lava lava niko singleNtakulinda kwa kunuti
nitapigana jihadi
pendo liwe madhubuti
wasiingie waganga
wapambe vibulushuti
Wape chai kwenye jagi
Yetu tamu biskuti
Wasitie mchanga
Penzi letu baiskeli kaa bomba la mbelee....
Mbona mlikuwa mnamponda kila siku humu na nyimbo zake za mwanzoni... imekuwaje tena!!Wasalaam...
Huyu dogo aiseee hizi nyimbo zake daaah sijui kamusi ya mahaba anatolea wapi. Ukisikiliza vizuri mashairi ya nyimbo zake lazima uso wako ujae tabasamu lisilo na unafiki ndani ya moyo...
Anafanya vizuri sana kiukweli...
HONGERA MBOSSO.
kwani si naskia kizzy hajui kufanya master so anafanyaga nani hapo switcher??Nshaiskia ni hatari sana aisee, dogo anajua kshenzi yani dogo ni hatari kwasasa kwenye beat ni homa yule halafu beat zake ziko mastered vzuri