MBOSSO KHANI, MBOSSO MSHEDEDE KAMA UNAVYOJIITA!

Lawrichie

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
825
Reaction score
2,340
Wasalaam...
Huyu dogo aiseee hizi nyimbo zake daaah sijui kamusi ya mahaba anatolea wapi. Ukisikiliza vizuri mashairi ya nyimbo zake lazima uso wako ujae tabasamu lisilo na unafiki ndani ya moyo...
Anafanya vizuri sana kiukweli...
HONGERA MBOSSO.

Huyu S2Kizzy huyu kwakweli ni hatari sana hii trap ya country wizzy hatari tupu yani ukimweka mzee Jones wa Kalighrapher weka mbali na mashangazi
 
Apunguze spidi na mafumbo yake, atapigwa ban.
 
Huyu S2Kizzy huyu kwakweli ni hatari sana hii trap ya country wizzy hatari tupu yani ukimweka mzee Jones wa Kalighrapher weka mbali na mashangazi

Mkuu kuna hii mpya ya OMG inaitwa solo.. yaani kizzy ni hatari kwenye trap
 
Ntakulinda kwa kunuti
nitapigana jihadi
pendo liwe madhubuti
wasiingie waganga
wapambe vibulushuti
Wape chai kwenye jagi
Yetu tamu biskuti
Wasitie mchanga

Penzi letu baiskeli kaa bomba la mbelee....
 
Nshaiskia ni hatari sana aisee, dogo anajua kshenzi yani dogo ni hatari kwasasa kwenye beat ni homa yule halafu beat zake ziko mastered vzuri
 
Japo mimi sielewi ngoma za kulia lia hii naipenda sana hasa bridge yake na napenda ya lava lava niko single
 
Huyu anahamasisha mapenz wakat Ni nje ya tamaduni za kitanzania# wap katibu fungia hii weka mbali Na watoto
 
Kwenye huo wimbo hamna matusi kama wale wenzie? Kabla ya sijausikiliza
 
Wasalaam...
Huyu dogo aiseee hizi nyimbo zake daaah sijui kamusi ya mahaba anatolea wapi. Ukisikiliza vizuri mashairi ya nyimbo zake lazima uso wako ujae tabasamu lisilo na unafiki ndani ya moyo...
Anafanya vizuri sana kiukweli...
HONGERA MBOSSO.

Mbona mlikuwa mnamponda kila siku humu na nyimbo zake za mwanzoni... imekuwaje tena!!
 
Nshaiskia ni hatari sana aisee, dogo anajua kshenzi yani dogo ni hatari kwasasa kwenye beat ni homa yule halafu beat zake ziko mastered vzuri
kwani si naskia kizzy hajui kufanya master so anafanyaga nani hapo switcher??
 
Back
Top Bottom