Mbosso – Maajab

Mbosso – Maajab

Barcelona763

Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
26
Reaction score
21
Mbosso – Maajab

Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna mwendeleo wa Shairi ila kurusha kurusha maneno ya misamiati.
 
Jamii Forum washakuwa wema chuki chuki hawataki tena ndomana ukakosa ata komenti moja ... Jirekebishe

Back
Top Bottom