eastmea
Senior Member
- Jul 28, 2018
- 159
- 133
Kwa upande wangu Mbosso ni mkali kuliko Aslay ,hii ni kutokana na mashairi ya nyimbo zake anazoimba kwa mfano Nipepee,Nadekezwa,Alele' Nk: ukiangalia mashairi ambayo anaimba mbosso yamekaa ki utu uzima kidogo kwa mfano katika wimbo wa jibebe ' mushedede mtukutu azame kwenye kisima' tofauti na mashairi ya aslay mfano (angalia jicho ka hamisa mobetto karangi kake Elizabeth Michael) mashairi ya Aslay yanakosa ubunifu kabisa.
Naomba mtazamo wako kati ya Mbosso na Aslay nani ni mkali kushinda mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mtazamo wako kati ya Mbosso na Aslay nani ni mkali kushinda mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app