Mbosso ni mkali kuliko Aslay kwa upande wangu

Mbosso ni mkali kuliko Aslay kwa upande wangu

eastmea

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
159
Reaction score
133
Kwa upande wangu Mbosso ni mkali kuliko Aslay ,hii ni kutokana na mashairi ya nyimbo zake anazoimba kwa mfano Nipepee,Nadekezwa,Alele' Nk: ukiangalia mashairi ambayo anaimba mbosso yamekaa ki utu uzima kidogo kwa mfano katika wimbo wa jibebe ' mushedede mtukutu azame kwenye kisima' tofauti na mashairi ya aslay mfano (angalia jicho ka hamisa mobetto karangi kake Elizabeth Michael) mashairi ya Aslay yanakosa ubunifu kabisa.

Naomba mtazamo wako kati ya Mbosso na Aslay nani ni mkali kushinda mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu mbosso ni mkali kuliko aslay ,hii ni kutokana na mashairi ya nyimbo zake anazoimba kwa mfano Nipepee,Nadekezwa,Alele' Nk: ukiangalia mashairi ambayo anaimba mbosso yamekaa ki utu uzima kidogo kwa mfano katika wimbo wa jibebe ' mushedede mtukutu azame kwenye kisima' tofauti na mashairi ya aslay mfano (angalia jicho ka hamisa mobetto ksrangi kake Elizabeth Michael) mashairi ya aslay yanakosa ubunifu kabisa
#naomba mtazamo wako kati ya mbosso na aslay nani ni mkali kushinda mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
Si umesema kwa mtazamo wako?

Mbona unachagua lines za kulinganisha? Mbosso aimbe mara elfu hawezi mfikia Aslay, labda dogo aache kuimba.

So far, sidhani kama Maromboso atakuja kutoa wimbo unaoukaribia angekuwepo wa Aslay.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si umesema kwa mtazamo wako?

Mbona unachagua lines za kulinganisha? Mbosso aimbe mara elfu hawezi mfikia Aslay, labda dogo aache kuimba.

So far, sidhani kama Maromboso atakuja kutoa wimbo unaoukaribia angekuwepo wa Aslay.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha ushamba aslay hana wimbo unaoitwa angekuwepo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji114]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aslay kipaji sana labda hao watunzi wake hawampi mashairi mazuri na ajakomaa zaidi sababu tunawaambia warudi shule angeenda shule ya muziki angezidi kuiva
 
Hahahaha anaomjua? Au kumfahamu?
Acha matusy mkuu unaelewa maana ya kumjua mtu? Tumalizie na hapo....
 
Aslay ni hatari sana, ana nyimbo kali zaidi ya 15 sichokagi kuzisikiliza, ila Mbosso anakuja vizuri naona siku hizi graph yake imepanda tangu alipotoa Nadekezwa, atakuja kumpiku Aslay kama ataendelea kubweteka maana naona kama mwakahuu speed yake imepungua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom