Si umesema kwa mtazamo wako?Kwa upande wangu mbosso ni mkali kuliko aslay ,hii ni kutokana na mashairi ya nyimbo zake anazoimba kwa mfano Nipepee,Nadekezwa,Alele' Nk: ukiangalia mashairi ambayo anaimba mbosso yamekaa ki utu uzima kidogo kwa mfano katika wimbo wa jibebe ' mushedede mtukutu azame kwenye kisima' tofauti na mashairi ya aslay mfano (angalia jicho ka hamisa mobetto ksrangi kake Elizabeth Michael) mashairi ya aslay yanakosa ubunifu kabisa
#naomba mtazamo wako kati ya mbosso na aslay nani ni mkali kushinda mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ni kwa ajili ya wanaowafahamu mbosso na aslayMboso na aslay ndio wakina nani? Tuanzie hapo...
Mkuu acha ushamba aslay hana wimbo unaoitwa angekuwepoSi umesema kwa mtazamo wako?
Mbona unachagua lines za kulinganisha? Mbosso aimbe mara elfu hawezi mfikia Aslay, labda dogo aache kuimba.
So far, sidhani kama Maromboso atakuja kutoa wimbo unaoukaribia angekuwepo wa Aslay.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazibua vyoo bugurun,,, sa sujui wanashindanishwa nnMboso na aslay ndio wakina nani? Tuanzie hapo...
Dogo style yake ni ileile afu bahat mbaya sijawahi muelewa, bora kipindi yupo kwenye kundi lao alikua na ladha tofauti.Nyimbo za aslay zimekaa kitoto na zinafanana sana,biti zake hazina ladha,but mboso kila anachofanya kina usimamizi mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app