Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Utoto raha kweli wakati mwingine...Mbosso hamna kitu labda umlinganishe na hamonize tungekuelewa
Nyimbo yoyote ile ya mbosso huwezi ilinganisha na nyimbo ya kiba.anza kwanza kulinganisha nyimbo ya mboso na diamondi tutakuekewa.We jamaa bana..jamaa kafananisha kiba na mboso wapi?
Kajifundishe Umoja na Wingi kwanza.Nyimbo yoyote ile ya mbosso huwezi ilinganisha na nyimbo ya kiba.anza kwanza kulinganisha nyimbo ya mboso na diamondi tutakuekewa.
Wapenzi wasikilizaji.
Mpaka leo nyimbo hizi mbili zimefikisha siku mbili.
Wimbo wa Mbosso ukiwa na views 640,000 huku wimbo wa Alikiba ukiwa na views 430,000.
Naomba tutoe maoni. Ni nani kafanikiwa. Na ikipendeza tutoe sababu.
Ukiangalia ni ALI KIBAWapenzi wasikilizaji.
Mpaka leo nyimbo hizi mbili zimefikisha siku mbili.
Wimbo wa Mbosso ukiwa na views 640,000 huku wimbo wa Alikiba ukiwa na views 430,000.
Naomba tutoe maoni. Ni nani kafanikiwa. Na ikipendeza tutoe sababu.
Hahahahahaaaa inama IMEINAMISHWAMtoa maada
Rhumba ina trend no.1 unasemaje?
hata inama, imeinamishwa
Alikiba yumo check title
Niishie tu kusema kuwa,mleta mada umetumia miguu kufikiria badala ya ubongo