playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Ruge kafariki enhe mbn bado mnaweweseka na SIMBA JIKE LENU.Kajifundishe Umoja na Wingi kwanza.
Wimbo mmoja
Nyimbo nyingi
Huyo Ali Kiba ndo walianza kumpambanisha na Diamond kipindi alipotea kwenye Game la muziki.
Alijiita "THE RETURN OF THE KING" amshukuru Marehemu Ruge huyo King wenu uchwara.