Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KapoozaAslayyyyyyy!!
🥵🥵🥵🥵Usirudie tena kumfananisha Aslay na vitu vya ajabu.
Hivi unaweza tishwa na kinyago ulicho kichonga mwenyewe?Sasa hivi Diamond kaletewa Hamonaiz.
Aslay kama aslay kapelekwa benchi na vitu vya ajabu 😂😂😂😂😂😂😂😂Usirudie tena kumfananisha Aslay na vitu vya ajabu.
GeniusMleta mada angalau umeleta mfananisho unaoendana!!
Sie wengine tulikuwa tunaangalia tu walivyokuwa wanajaribu kumpambanisha Aslya na Diamond baada ya kuwa wameshindwa kwa Darasa!!! Tukaonya hapa, msimvimbishe kichwa dogo akajiona tayari ameshakuwa heavy weight manake yupo bado sana kuweza kumshindanisha na mtu mwenye fans base ya kufa mtu Afrika Mashariki yote and beyond!
Watu wakamjaza... wakamjaza... nasikia hivi sasa analia lia! Mara aandike barua kwa mama... mwanamuziki unaandika barua kwa mama badala ya kutunga wimbo kwa mama kumwelezea maswahibu yako!!!
Waliojulia muziki ukubwani wanadhani muziki is all about kuingia studio na kutoa hit song! Yes, muziki upo hivyo... lakini hakuna muziki pasipo tasnia ya muziki!
Na kwa kujibu swali la mleta mada, Maromboso atampoteza Aslay kwa sababu Mboso amezungukwa na watu wanaojua muziki na tasnia ya muziki!
All in all, I cry for Beka Flavor...
hana lebel na na anafanya kazi kwa kiwango chake.Aslay kama aslay kapelekwa benchi na vitu vya ajabu 😂😂😂😂😂😂😂😂
Uwa tunawaambia mapema msiwajaze ujinga awa watotohana lebel na na anafanya kazi kwa kiwango chake.
Hii komenti [emoji1787]Usirudie tena kumfananisha Aslay na vitu vya ajabu.
Aseeee mbosso kashamchakaza aslayHii komenti [emoji1787]
Mkuu unateseka na aslay mkiwa wapi?We jamaa una ugonjwa wa kupenda vitu vya ajabu ajabu, mara ccm mara mboso .
Asa mboso nae msanii, hadi ashikwe mkono wakati dogo kasimama mwenyewe na anatupia mawe ya maana
unasema?Aslay amesimama mwenyewe bila lebo kubwa, leo hii ameshakuwa msanii mkubwa nyimbo nyingi show ya mtu mmoja inaenda, leo hii unamfananisha na mbosso kweli mkuu? Mpe heshima yake
Vibaya mno kapigwa knockoutAseeee mbosso kashamchakaza aslay
Noma Sana nitag huo Uzi wa mayele na kibu😀😀😀😂Huu uzi na takwimu za mayele vs kibu hua zanichekesha sana