Mbowe aache kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu

Mbowe aache kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu

Besta Mlagila

Senior Member
Joined
May 29, 2018
Posts
101
Reaction score
192
Eti wanachama wanahoji kwanini chama kimeenda kutumia mamilioni ya fedha kukodi ukumbi wa Mliman City na kuacha kumbi nyingine za bei nafuu halafu Mbowe anajibu kwamba CHADEMA ni watu wa viwango na wanachukia umasikini halafu watu wanashangilia!

Iko wapi tofauti kati ya Magufuli anayenunua ndege na Mbowe anayepeleka Kamati kuu pale Mliman City kwenye ukumbi wa mamilioni?

Ndege zinaponunuliwa watu wanahoji kwamba zina faida gani kwa mwananchi wa hali ya chini ambaye hana uwezo wa kupanda ndege, Sasa na mimi nataka kuhoji kwamba kufanyia Mkutano pale Mliman City kwenye Ukumbi wa mamilioni kuna Faida gani kwa mwana CHADEMA wa kawaida au kiongozi wa CHADEMA kwenye ngazi ya shina au tawi ambaye siyo Mjumbe wa kamati kuu?

Hivi haya mamilioni si yangeweza kuwajengea ofisi ya Chama hawa viongozi wa mashina na Matawi katika kata zao? Hivi hayo mamilioni yangeweza kujenga ofisi ngapi za Wilaya au Mkoa? Yaani kweli chama kisicho na ofisi kinaenda kukodi ukumbi wa Million 130 wakati hakina hata jengo moja la Ofisi?

Yaani chama kinakodi ndege ya kuwapeleka kina Lema CCM KIRUMBA kwenye sherehe za Uhuru wakat chama hicho hicho hakina hata jengo moja la ofisi halafu wanachama wanashangilia tu kama Majuha? Kweli nimeamini CHADEMA kuna wajinga na Malofa.

Na Mchangila Bakari,
 
Ushindi wa viongozi wa chadema una walakini sana

Mwamba akatafute haki yake mahakamani
 
Walijua mtawalipua na CCP yenu ndio maana wakaamua kujificha Mlimani City ili mkiwalipua na iwe thabiti kuwa mmelipua nyie ccp (chama cha police - ccm)

Mmeshindwa kuvumilia mkaamua kung'oa bendera je wangeenda kwingine mngewa Tundu Lisu
 
Kweli mtoa hoja, achilia mbali ukumbi, ulitaka hata hao wajumbe wasipewe POSHO za kujikimu bali waende majumbani kwa wana CDM wenzao wakajibanze banze; hata hizo fulana wangevaa nguo za kawaida tu. kuhusu usafiri wa kuja DSM wangetumia FUSO - maana huwa halijai. Venue wangetumia hata pale viwanja vya Tandare hakuna haja ya majukwaa gharama, wabane matumizi wajenge chama chao kwanza..

No wonder CCM ndiyo hivyo ilivyo kwa sasa - doing same things with the same style miaka nenda miaka rudi.
 
CHADEMA ni mali Mbowe na mkwewe Mtei, hesabu za mapato na matumizi ni juu yake.... unahoji ili iwe nini..?
 
Huu uchaguzi unaonyesha ulikuwa Chadema VS CCM na CCM wameshindwa ndio maana wao wanalalamika na kulialia hovyo.
Kuna jamaa yangu mmoja (lakini sio Pascal Mayalla) Leo hajaamka kabisa na makala zake za Kwa maslahi ya Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MaCCM yamekomeshwa na Mhe, MBOWE. Mtacheketuka mpaka mnye KUDADEKI
 
Makamanda huwaambii kitu kwa Kamanda wao Mkuu! Bila shaka sasa mioyo yao itatulia baada ya Kumpa ushindi wa kimbunga na kumfanya kuwa Mwenyekiti wao wa kudumu.
 
Eti wanachama wanahoji kwanin chama kimeenda kutumia mamilioni ya fedha kukodi ukumbi wa Mliman City na kuacha kumbi nyingine za bei nafuu halafu Mbowe anajibu kwamba CHADEMA ni watu wa viwango na wanachukia umasikini halafu watu wanashangilia!

Iko wap tofauti kati ya Magufuli anayenunua ndege na Mbowe anayepeleka Kamati kuu pale Mliman City kwenye ukumbi wa mamilioni??
Ndege zinaponunuliwa watu wanahoji kwamba zina faida gani kwa mwananchi wa hali ya chini ambaye hana uwezo wa kupanda ndege, Sasa namimi nataka kuhoji kwamba kufanyia Mkutano pale Mliman City kwenye Ukumbi wa mamilioni kuna Faida gani kwa mwana CHADEMA wa kawaida au kiongozi wa CHADEMA kwenye ngazi ya shina au tawi ambaye siyo Mjumbe wa kamati kuu?? Hivi haya mamilioni si yangeweza kuwajengea ofisi ya Chama hawa viongoz wa mashina na Matawi katika kata zao?? Hivi hayo mamilioni yangeweza kujenga ofisi ngapi za Wilaya au Mkoa?? Yaani kweli chama kisicho na ofisi kinaenda kukodi ukumbi wa Million 130 wakat hakina hata jengo moja la Ofisi?? Yaani chama kinakodi ndege ya kuwapeleka kina Lema CCM KIRUMBA kwenye sherehe za Uhuru wakat chama hicho hicho hakina hata jengo moja la ofisi halafu wanachama wanashangilia tu kama Majuha?? Kweli nimeamini CHADEMA kuna wajinga na Malofa.

Na Mchangila Bakari,
HILI JAMBO NILIHOJI MAPEMA SANA NAKATIKA SWALI LANGU AMBALO MH. MBOWE NILITAKA ANIPATIE MAJIBU NAONA ALIJIBU MOJA NA MOJA KALIKWEPA JAPO HATA JIBU LASWALI MOJA ALILOZANI KAJIBU ILIDHIHILISHA ANDIKO NILILOLIWEKA HUMU YAKUWA chadema ni kibubu cha mbowee cha kudundulizia pesa .JAPO ANDIKO HILO WALILIFUTA HARAKA SANA HUM Jf. NILIHOJI UKODISHWAJI WA NDEGE KWENDA MWANZA KUDAI MARIDHIANO bila kutumwa na wajumbe au chama . PILI NILIHOJI UKUMBI WA 184ML.kwaajiri ya kikao cha uchaguzi wakati huo chama hatuna ofisi nchi nzima, huku tukidanganya uma tunataka kuchukua dora LAKINI NILITAKA KUJUA BAJETI YA MATUMIZI MAKUBWA YA FEDHA ZA KUKODI NDEGE NA KUMBI ninani alipanga nakupitisha na kuifhinisha matumizi yake. Katika majibu mbowee amejibu la ukumbi wa mlimani city huku akihadaa chadema ni kiwango cha juu nawanachukia umaskini nawatu walivyo wajinga wenye elimu za juu wanapiga MAKOFI nilichukia sana, naomba mh mbowe na wapambe wako mnaokula rudhuku ya chama na michango ya wabunge+ wahisani mtujibu hili. Najua mmejipanga kupiga tena ila 2020 tunawafuta.
 
Heeeee CCM bana kwani hela hizo zinawauma mbona ninyi hamuulizi huko kwenu hela ya umma inafanya nini? mbona hata kwenu kila siku uchaguzi na ununuzi wa madiwani/ wabunge mmekaa kimya CHADEMA wanafanya uchaguzi ambao ni haki yao miaka 5 unaliza hela zinatoka wapi walikuwambia hawana mpango kazi?

Hebu tulieni huku msubiri Christmas na mwaka mpya
 
Mimi nawaambia kila siku wanachadema wenzangu yakuwa! TUNALIWA. KWAMAJIBU HAYA YA MBOWEE INAONYESHA HATA KATIBU MKUU ATAPENDEKEZA KWENYE TIMU ILEILE YA WATU WALIOKODI NDEGE KWENDA MWANZA maana hili limepangwa. Wamekula za ndege na za ukumbi hivyo lazima wachaguane ili kulinda mfereji wao . Hawa tuwakomeshe 2020 hamrudi bungeni mmeniudhi sana mnatuona sisi wanachama wachini niwajinga.
 
Heeeee CCM bana kwani hela hizo zinawauma mbona ninyi hamuulizi huko kwenu hela ya umma inafanya nini? mbona hata kwenu kila siku uchaguzi na ununuzi wa madiwani/ wabunge mmekaa kimya CHADEMA wanafanya uchaguzi ambao ni haki yao miaka 5 unaliza hela zinatoka wapi walikuwambia hawana mpango kazi?

Hebu tulieni huku msubiri Christmas na mwaka mpya
Kama kweli wewe ni kamanda tuache ushabiki tuweke hoja za msingi. Mfano ukiwasemea ccm wametumia pesa vibaya hayo yakwao hebu tujadiri yakwetu. Tunaofisi zetu nchi nzima? Je pesa za kukodi ndege tungejenga ofisi ngapi za chama? Je ile ndege walokodi kwenda mwanza kuomba maridhiano imetusaidia nini wao au chama? Naje 240ml. Za ukumbi tungelipa posho viongozi wangapi wa vijijj na kata ? Lakini je miaka yote 10 yachama kuwa nawabunge wakutosha bungeni chama kimefanya nini? Ukisema ccm kununua madiwani na wabunge kwani hata sisi chadema waliokuwa wanahamia kwetu tuliwanunua kwa bei gani? MAJIBU TAFADHALI
 
Back
Top Bottom