Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 598
Hivi mbunge wa Rombo joseph 30 nayeye kweli anaperekwa kiasi hiki? Huyu jamaa mimk huwanamkubari sana. Sio akina kubenehea joseph ciamini km kakubaiMakamanda huwaambii kitu kwa Kamanda wao Mkuu! Bila shaka sasa mioyo yao itatulia baada ya Kumpa ushindi wa kimbunga na kumfanya kuwa Mwenyekiti wao wa kudumu.
Unaijua katiba ya chama?Ushindi wa viongozi wa chadema una walakini sana
Mwamba akatafute haki yake mahakamani
Eti wanachama wanahoji kwanini chama kimeenda kutumia mamilioni ya fedha kukodi ukumbi wa Mliman City na kuacha kumbi nyingine za bei nafuu halafu Mbowe anajibu kwamba CHADEMA ni watu wa viwango na wanachukia umasikini halafu watu wanashangilia!
Iko wapi tofauti kati ya Magufuli anayenunua ndege na Mbowe anayepeleka Kamati kuu pale Mliman City kwenye ukumbi wa mamilioni?
Ndege zinaponunuliwa watu wanahoji kwamba zina faida gani kwa mwananchi wa hali ya chini ambaye hana uwezo wa kupanda ndege, Sasa na mimi nataka kuhoji kwamba kufanyia Mkutano pale Mliman City kwenye Ukumbi wa mamilioni kuna Faida gani kwa mwana CHADEMA wa kawaida au kiongozi wa CHADEMA kwenye ngazi ya shina au tawi ambaye siyo Mjumbe wa kamati kuu?
Hivi haya mamilioni si yangeweza kuwajengea ofisi ya Chama hawa viongozi wa mashina na Matawi katika kata zao? Hivi hayo mamilioni yangeweza kujenga ofisi ngapi za Wilaya au Mkoa? Yaani kweli chama kisicho na ofisi kinaenda kukodi ukumbi wa Million 130 wakati hakina hata jengo moja la Ofisi?
Yaani chama kinakodi ndege ya kuwapeleka kina Lema CCM KIRUMBA kwenye sherehe za Uhuru wakat chama hicho hicho hakina hata jengo moja la ofisi halafu wanachama wanashangilia tu kama Majuha? Kweli nimeamini CHADEMA kuna wajinga na Malofa.
Na Mchangila Bakari,
Hudhani kwamba wewe ndo unawalakini kwanza???Ushindi wa viongozi wa chadema una walakini sana
Mwamba akatafute haki yake mahakamani
Chaaali kifo cha mende aka nyakanyaka, achana na Mbowe bana, dam ya Mchonga ile mkuu.
Your message is already delivered mkuu.Heeeee CCM bana kwani hela hizo zinawauma mbona ninyi hamuulizi huko kwenu hela ya umma inafanya nini? mbona hata kwenu kila siku uchaguzi na ununuzi wa madiwani/ wabunge mmekaa kimya CHADEMA wanafanya uchaguzi ambao ni haki yao miaka 5 unaliza hela zinatoka wapi walikuwambia hawana mpango kazi?
Hebu tulieni huku msubiri Christmas na mwaka mpya
Hupendi au?????????Makamanda huwaambii kitu kwa Kamanda wao Mkuu! Bila shaka sasa mioyo yao itatulia baada ya Kumpa ushindi wa kimbunga na kumfanya kuwa Mwenyekiti wao wa kudumu.
Pale si Mochwari wapige mabomu waseme wameua.Walijua mtawalipua na CCP yenu ndio maana wakaamua kujificha Mlimani City ili mkiwalipua na iwe thabiti kuwa mmelipua nyie ccp (chama cha police - ccm)
Mmeshindwa kuvumilia mkaamua kung'oa bendera je wangeenda kwingine mngewa Tundu Lisu
Mkutano ni wa chadema cha ajabu CCM ndiyo wanaumiaEti wanachama wanahoji kwanini chama kimeenda kutumia mamilioni ya fedha kukodi ukumbi wa Mliman City na kuacha kumbi nyingine za bei nafuu halafu Mbowe anajibu kwamba CHADEMA ni watu wa viwango na wanachukia umasikini halafu watu wanashangilia!
Iko wapi tofauti kati ya Magufuli anayenunua ndege na Mbowe anayepeleka Kamati kuu pale Mliman City kwenye ukumbi wa mamilioni?
Ndege zinaponunuliwa watu wanahoji kwamba zina faida gani kwa mwananchi wa hali ya chini ambaye hana uwezo wa kupanda ndege, Sasa na mimi nataka kuhoji kwamba kufanyia Mkutano pale Mliman City kwenye Ukumbi wa mamilioni kuna Faida gani kwa mwana CHADEMA wa kawaida au kiongozi wa CHADEMA kwenye ngazi ya shina au tawi ambaye siyo Mjumbe wa kamati kuu?
Hivi haya mamilioni si yangeweza kuwajengea ofisi ya Chama hawa viongozi wa mashina na Matawi katika kata zao? Hivi hayo mamilioni yangeweza kujenga ofisi ngapi za Wilaya au Mkoa? Yaani kweli chama kisicho na ofisi kinaenda kukodi ukumbi wa Million 130 wakati hakina hata jengo moja la Ofisi?
Yaani chama kinakodi ndege ya kuwapeleka kina Lema CCM KIRUMBA kwenye sherehe za Uhuru wakat chama hicho hicho hakina hata jengo moja la ofisi halafu wanachama wanashangilia tu kama Majuha? Kweli nimeamini CHADEMA kuna wajinga na Malofa.
Na Mchangila Bakari,
Ushindi wa viongozi wa chadema una walakini sana
Mwamba akatafute haki yake mahakamani
Wewe kajitu ka pointless bado upo?Ushindi wa viongozi wa chadema una walakini sana
Mwamba akatafute haki yake mahakamani
CHADEMA ni mali Mbowe na mkwewe Mtei, hesabu za mapato na matumizi ni juu yake.... unahoji ili iwe nini..?
CCM ni shiiida chadema hata wangefanyia mkutano ukumbi wa mbuzi vingunguti wangesema tu, kila kitu cha chadema wanakifuatilia kwa vijicho na Mbinu nyingi haramu, CCM wameacha chama chao wapo busy na chadema mda wote, kokote chadema wangefanyia mkutano lazima CCM wataongea uzushiTatizo la maccm wana poor mentality na ndio maana nchi limejaa wajinga na maskini.
Nani kawadanganya mkutano mkubwa kama ule hauna gharama? Mlitaka wakafanyie wapi na kwa sababu zipi? eti kubana matumizi? hivi mnafahamu posho za wajumbe wote wale? nauli malazi na chakula na mambo kibao,acheni ushamba wa kiccm ,alafu utakuta majitu kama haya hata baiskeli hayana.
Hongera mbowe nimekusikia next time mnatafuta sehemu bora zaidi ,mkipungukiwa tutachanga,wivu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa hoja hii tujulishe Ukumbi umekodiwa kwa milioni ngapi? Lakini lazima ujue kuwa CCM ndo kuna Roho ya umaskimi,CHADEMA kuna Roho ya utjiri.Bakini na Roho muwaachie CHADEMA Roho yao.Nyinyi endeleeni kuwafanua watu eenu waishi kama mashetaniEti wanachama wanahoji kwanini chama kimeenda kutumia mamilioni ya fedha kukodi ukumbi wa Mliman City na kuacha kumbi nyingine za bei nafuu halafu Mbowe anajibu kwamba CHADEMA ni watu wa viwango na wanachukia umasikini halafu watu wanashangilia!
Iko wapi tofauti kati ya Magufuli anayenunua ndege na Mbowe anayepeleka Kamati kuu pale Mliman City kwenye ukumbi wa mamilioni?
Ndege zinaponunuliwa watu wanahoji kwamba zina faida gani kwa mwananchi wa hali ya chini ambaye hana uwezo wa kupanda ndege, Sasa na mimi nataka kuhoji kwamba kufanyia Mkutano pale Mliman City kwenye Ukumbi wa mamilioni kuna Faida gani kwa mwana CHADEMA wa kawaida au kiongozi wa CHADEMA kwenye ngazi ya shina au tawi ambaye siyo Mjumbe wa kamati kuu?
Hivi haya mamilioni si yangeweza kuwajengea ofisi ya Chama hawa viongozi wa mashina na Matawi katika kata zao? Hivi hayo mamilioni yangeweza kujenga ofisi ngapi za Wilaya au Mkoa? Yaani kweli chama kisicho na ofisi kinaenda kukodi ukumbi wa Million 130 wakati hakina hata jengo moja la Ofisi?
Yaani chama kinakodi ndege ya kuwapeleka kina Lema CCM KIRUMBA kwenye sherehe za Uhuru wakat chama hicho hicho hakina hata jengo moja la ofisi halafu wanachama wanashangilia tu kama Majuha? Kweli nimeamini CHADEMA kuna wajinga na Malofa.
Na Mchangila Bakari,
SIYO KAMA MAJUHA NI MAJUHA KAMILI HAYAJITAMBUI YANASHANGIULIA UJINGA HALAFU UMESAHAU MOJA LA RUZUKU ANAKULA MBOWE WAOWANASHANGILIAwanashangilia tu kama Majuha? Kweli nimeamini CHADEMA kuna wajinga na Malofa.