Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapanic nini sasa?

Sisi ccm ndio baba zenu! Tunawafanya tutakavyo! Kama weka ndani mwaka mzima, achia huru kisha unaanza kushangilia!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
AIBU yako, umemuachia kwakutaka au mmeogopa kupanda kizimbani?
 
Majinga hayo machumia tumbo achana nayo Zitto
 
Sasa leo ndiyo umeharisha damu hadharani baada ya DPP kusurrender.
 
Ieleweke kuwa Mh Freeman Mbowe na wenzake wamefutiwa mashitaka. Hii ina maana waliomshitaki wamekosa sababu au vigezo vya kuthibisha makosa yake.

Sasa wasitokee wahuni na machawa na kupotisha kwa kuanza kusema Mbowe kasamehewa au mara mama anaupiga mwingi kwa kumsamehe Mbowe. Anayesamehewa ni yule mwenye makosa na baada ya kukiri makosa yake.

Nashauri Mbowe afungue kesi kudai fidia na gharama zake zote kwa muda wote alioteaqa na kupotezewa.

Nawasilisha
 
Sasahivi vijana wa uvccm wanatafuta agenda za U-turn..usikia serikali ya sa100 ni sikivu na inapenda demokrasia..inahitaji ujinga wa kiwango cha lami kuwa mwanaccm...hao jamaa wana laana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wameogopa surprise,ndio maana walikuwa wanataka anuani na majina ya mashahidi wa utetezi!

Aisee!
 
Aibu kwa IGP na genge lake,Kujifanya wana ushahidi mzito,sijui ataficha wapi sura yake ile,hebu ambatanisheni na ile katuni yake hapa chini[emoji3]
 
Natoa pongezi kwa wote mliotuhabarisha kuhusu kesi hii tangu siku ya kwanza hadi leo hii.

Mmefanya kazi kubwa sana. Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki na kuwapa maisha ya heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…