Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,017
- 5,462
Hajachafuliwa bali ameongezewa sifa kwa watz.Kesi ikifutwa na DPP lifunguliwe shauri la madai ya fidia ya kuchafuliwa jina Mh.Mbowe na wenzake pamoja na CDM kama chama.Maana hawa CCM wametangaza sana kesi hii kwa dunia.
Wakiachwa hivi hivi wataenda na hilo bango towards 2025 kama agenda yao,baadhi ya wananchi wenzetu wamenyimwa ufahamu wa haki za binadamu na hawapatiwi taarifa sahihi dhidi ya uonevu unaoendelea hapa nchini.
Wanamuona ni Mandela wao.
Ila naona kama serikali ya maridhiano vile kwa mbaliiii.
Karbu Tundu A L
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app